Recent content by mtambobajeti

  1. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Ukishangaa ya Musa utaona ya Farao. Fisadi akimchunguza fisadi mwenzake tayari majibu tunayo.Hilo ni changa la macho.Ila ni kuwa hakuna kilichofichika hata watumie pesa kiasi gani kwa hilo la jengo hawawezi kumdanganya mtu. Hilo jengo lilijengwa kwa pesa ya wananchi na sio pesa ya CCM.Wanavuta...
  2. M

    Rais Kikwete aenda Marekani

    This is really terrible. Hivi jamani hatuwezi kuandamana kupinga hizi ziara zisizokuwa na mbele wala nyuma? Huyu jamaa naona yeye alichofuata ikulu ni kutanua tu hana jingine. Huwezi kufuata bil 20 wakati kuna bilion 133 na nyinginezo zinaachwa kupotea. Kwanza gharama ya kusafiri na kukaa...
  3. M

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Kwa kweli huyu tunayemwita Rais mimi siko tayari kumwita hivyo. Amepoteza muda wa watanzania wengi kumbe anakuja kuongea utumbo mtupu. Anastahili kuadhibiwa huyu kwa sababu ame prove failure. Porojo kuongoza taifa.Thats why he dont know Tanzania the reason of Tanzania being poor.
  4. M

    Mshahara August 6

    Wanajamii Ni juzi tu bungeni wametangaza kuongeza kiwango cha mishahara ingawaje hakikidhi haja ya mdanganyika anayeteseka. Cha kushangaza ni kuwa serikali inaanza kukopa nguvu za wanyanyasikaji wake. Pale Muhimbili hospitali wafanyakazi wamewekewa tangazo kubwa kabisa kuwa mshahara ni mpaka...
  5. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Huu ufisadi sasa unafikia pabaya. Yaani hao wanaoitwa wa usalama wanafuata nini huko kwa kubenea?Mbona hawajampekua EPA hata mmoja? Huyu Lowassanae alishalaaniwa tangu zamani hana staha ya kuwa kiongozi.kila mahali anataka kula tu eti anajiandaa kuwa rais.Kweli anaweza kuongoza nchi hii...
Back
Top Bottom