Recent content by mtamba b

 1. mtamba b

  Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

  Jifunze Kwanza kutofautisha L na R
 2. mtamba b

  Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

  Noooo Tatizo Ni hao wanaohubili kujiajiri huku wao wakiendelea kula keki ya taifa kwa kupokezana.
 3. mtamba b

  Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

  Sikatai hii kitu Lakini ukumbuke Kila mtu ana angle yake ya kutoboa Na haiwezekani watu wote wakatoboa kwa biashara na ishu Kama hizo Ndo maana Kuna ajira
 4. mtamba b

  Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

  So ndo hapo. Inashangaza Kuna watu wanawasapoti humu Hakuna mtu anaweza kujiajiri bila sapoti Watoe basi hata mitaji
 5. mtamba b

  Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

  Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Hizi story za kujiajiri ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa serikali ambao wao ni waajiriwa zinaumiza sana. Haiwezekani nipo shuleni kuanzia Nina umri wa miaka 6 Mpaka leo Nina miaka 25/26 then uje uniambie nijiajiri. Najiajiri Nini Sasa...
 6. mtamba b

  Afumwa akifanya mapenzi ofisini

  Hahaha
 7. mtamba b

  Sijawahi kuona mkutano wa Rais na wahudhuriaji wa jinsia moja tu

  Usawa hauwezi kuanzia kwenye kazi za uongozi tu za wanawake waliosoma tu, bali usawa uanzie kwenye majukumu ya mtu wa kawaida kama vile ulinzi, uchimbaji, uvuvi, usafirishaji, ujenzi, usafirishaji, utoaji wa mahari, uchungaji mifugo, uchuuzi, nk kazi ambazo hata asiyekwenda shule anazifanya...
Top Bottom