Recent content by Msweden

 1. Msweden

  Chumba kama hiki kinahitaji shilingi ngapi kukamilika?

  Punguza jazba usichukulie kila kitu serious utajiumiza
 2. Msweden

  Chumba kama hiki kinahitaji shilingi ngapi kukamilika?

  Yah watu wanamna hii dawa yao unalala sebuleni mpka uchoke
 3. Msweden

  USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

  Tupo wawili tu Mimi ndio mkubwa Nina 24yrs,wa pili ana miaka 16
 4. Msweden

  USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

  Biashara ni ya wazazi sio ya ukoo ,halafu kingine hawanipi mshaara
 5. Msweden

  USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

  Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini . Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka...
 6. Msweden

  Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

  Hii gari itakuwa role model wake ni huyu mbwa great dane
 7. Msweden

  Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

  Ni Wakazi msanii wa bongo hip hop
 8. Msweden

  Mungu wa uchumi mioyoni mwa wajasiriamali

  Kuna mwenzako anaitwa Ontario Leo hii hayupo humu last seen yake ni 2018.
 9. Msweden

  Nikki wa Pili jifunze jambo hili kwa Wakazi

  Nyie wake zenu hawagongwi?
 10. Msweden

  Nikki wa Pili jifunze jambo hili kwa Wakazi

  Mwenzenu ameshalamba teuzi uko nyie endeleeni kupiga kelele
Top Bottom