Recent content by mswazi

  1. M

    Kwa mahitaji ya ramani

    Ninashaka na ubora wa kazi yako, maana hili Tangazo lako tu halijakamilika sijui kama hizo ramani zitakuwa na ukamilifu. Unaweka Tangazo bila contacts, watu watakupataje sasa?
  2. M

    Kuitwa kazini NAO

    Yaa nadhani itakua ni kweli maana jana kuna mshkaji wangu nae kapigiwa juu ya post hizohizo na ktk kuwahoji wakamwambia anachotakiwa ni kusema kama yupo tayari then wamtumie barua ya ajira. Aliulizia wapi wanampeleka wakamjibu kuwa huyo mpiga simu ametumwa tu hajui zaidi so asubiri barua...
  3. M

    Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

    Dah jamaa wanaboa sana hv sasa wanabahatisha ktk biashara yao,mfano leo nimenunua umeme kwa tigo pesa wakanambia muamala umekamilika, lakini toka saa tisa hadi sasa hivi saa nne usiku sijapata msg ya vocha, nikapiga namba 100 huduma kwa wateja nikaambiwa kuongea na mhudumu nipige 0713800800...
  4. M

    Tra updates

    Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.mshkaji wangu ametema nafasi za it baada ya kusikia hiyo salary
  5. M

    Tra updates

    Basic salary laki 8, safari hakuna, nendeni mkale rushwa ili muishi.
  6. M

    JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

    Kijana chagua kazi yeyote katika hizo lkn consider sana kazi itakayokupa career development na sio salary ili uje weza kupata jo ya ukweli badae, kwa hizo salary uliosema zote ni kama sawa tu, mimi mwenzio nilipomaliza chuo nilikaa mkoa mwaka mzima bila job na nikapata kazi ya 350,000...
  7. M

    Wat so special with TRA?

    Hawa jamaa mm ninachojua wanabebwa saana na Mikopo ya AZANIA BANK,muajiri wao amewa guarantee kukopa kwa kiwango cha juu sana pale Bank, na wengi kwa hiyo mikopo wanajenga fasta au wana nunua magari mazuri au wana fanya business zinazowaongezea viapato. Ww ulikwenda fanya field au kuchunguza...
  8. M

    Breaking buta bit late - TPA JOBS washaita!

    Jamani kwa wale walioomba nafasi za Audit pale TPA,tafadhali futa katika list ya matumaini kwani tayari wameshaita na wamefanya interview alhamisi iliyopita,poleni kwa waliokosa na hongereni kwa mliopata ikiwa mumepata kwa ushindani halali na si kwa KAMLETE.
  9. M

    2000 Rav 4 J VVT- i Engine Inauzwa

    Haya kama kweli ulikosea kuandika odo meter na kama unavyosema ni 100330 na sio 1000330, ni vema ukatupatia registration number yake ya hapa bongo, hiyo itamuwezesha mnunuzi kufanya makisio ni kwa muda gani imetumika hapa bongo. Fanya hivyo kaka,hiyo ni info muhimu sana ume hide.
  10. M

    2000 Rav 4 J VVT- i Engine Inauzwa

    Kaka kama hiyo odo meter ipo sahihi, basi hata 350,000 tzs hupati mana ikiwa Scania inakuja na km 700,000 inakuwaje small car ije na Mileage ilofoka million km?Imetumikaje huko hadi iwe na very good condition kama unavyosema?
  11. M

    Kazi za ualimu

    Muende mkafundishe mkitakiwa kufundisha sio mkimbilie huko kuganga life then muda mfupi Bank Teller NMB. Kuna haja vijana wenye sifa za ualimu kuleta mageuzi katika elimu yetu kwa kadri tutakavyo weza regardless mfumo mbovu tulionao. Tusishau elimu ya Uraia wanafunzi wajitambue mapeeemaaa....
  12. M

    UN Job Vacancies

    Wanabahati hawakuweka zangu za Finance, mwaka huu ningeosha tuu.
  13. M

    mmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Hii inanifanya nizidi kuiheshimu kazi yangu japo nafanya kazi isyoendana na profession yangu, nina CPA lkn sio muhasibu siiachi hata kidogo bora mkono wenda kinywani bila shida. Komaa kijana utapata ila ndio hivyo sio lazima upate kazi ya ulivyosomea pekee,yeyote pouwa hapa bongo bana Daktari...
  14. M

    Nafasi za Kazi za Uhadhiri "Finance and Accountancy" Chuo cha Mipango Dodoma

    Duh info is too short, huwezi omba kazi kwa information hiyo kaka hebu toa info kamili. Thanks
  15. M

    IT job - BoT (kwa Ndulu)

    Jamani wale wataalamu wa it wenye sifa, haya ndulu amerudia kazi hiyo
Back
Top Bottom