Recent content by Doctor MD

  1. Doctor MD

    Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Nashauri watu msioongee sana kwa hisia sasa ngoja nikupeleke kwenye uhakisia Je wajua ni vyuo zaidi ya 50 vinatoa shahada mbalimbali zinazohusu kada ya ualimu. Hata kama iwe serikali gani inaweza kumudu kuajiri utitiri wa wasomi weng wanaomaliza kila mwaka? Hivyo basi unapaswa ujue tatizo la...
  2. Doctor MD

    'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Kuna wakati watu waache ujinga qa kushabikia vitu ambavyo n sensitive sana ona kinachofanywa na NHIF knagharimu wananchi mno Mfano Leo kila dawa tunazoandika kwa bima zinagoma Ina mana inabdi kumwambia mgonjwa aanze kununua dawa nje hko ya maduka ya madawa tunawaumiza mno Hawa wananchi
  3. Doctor MD

    Madaktari wengi ni misukule walio hai

    Hatukatai kutibu kutokana na mabeberu mana wao wanamuandaa daktari vema sana haswa kwenye upande wa vitendo zaidi kuliko nadharia
  4. Doctor MD

    Madaktari wengi ni misukule walio hai

    Misukile hyo hyo ndo inatibu ndugu zako wakapona na wakaamka vitandani hebu heshima hata kidogo jitihada zao kwenye kusaidia jamii na suala la ugunduzi Hilo hata usilaumu mana wengi wao toka wakiwa mwaka wa kwanza wa udaktari Hadi kuwa maprofesa elimu bado n Ile ile na n mfumo kila mtu ameukuta
  5. Doctor MD

    Biashara za "Nunua au Niagize China" na makampuni ya cargo China hazina uhalisia

    Mkuu nadhan ni changamoto ambayo inaumiza haswa wateja wa rejarena
  6. Doctor MD

    Siasa ilimfanya Mchungaji Gwajima kuwa muongo

    Tumpe muda zaid muda wa miaka 5 haujaisha
  7. Doctor MD

    Wataalamu wabobezi waliochafuliwa na fitina za CCM

    Hivi hata kama amechukuliwa toka shirika Ina mana afanye uchafu aachwe a stupid thing
  8. Doctor MD

    AL JAZEERA ni kituo cha HAMAS

    Kila mtu ana uhuru wa maoni
  9. Doctor MD

    Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

    Mimi nashindwa kuelezwa massive of tanzanian wanaanin kama kila mtu ana mawazo kama yake Yan eti kama yeye hampendi makonda basi analazimisha kila mtu awaze kama yeye
  10. Doctor MD

    Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Karibu sana na kwa maelekezo zaidi na ufafanuzi zaidi karbu kupitia 0757160773
Back
Top Bottom