Recent content by Mshobaa

  1. Mshobaa

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Bila kusahau kwa kavimbirwa mkuu
  2. Mshobaa

    Ushauri: UDART Mwendokasi kuwe na refund

    Salaam, Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo. Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...
  3. Mshobaa

    Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    Kwani chumvi inatoka wapi tuanzie hapo
  4. Mshobaa

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Mkuu haya maelezo yana ukweli ndani yake??
  5. Mshobaa

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Baada ya malalamiko kuletwa hapa na wadau mbali mbali kuhusu hali ya barabara ya goba tegeta A wakorea road kua mbovu kupitiliza hatimae leo asubuhi barabara imeanza kuchongwa. Shukran za dhati ziwaendee Tarura kwa kusikia malalamiko yetu na pia jamii forums kwa ujumla kwa kupaza sauti zetu...
  6. Mshobaa

    KERO Barabara Tegete A ni kero, kama wameshindwa kuboresha watuambie Wananchi tujichange

    Hii njia kusema ukweli nadhani kwa dar nzima ndio inayoongoza kwa
  7. Mshobaa

    Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani Tegeta A

    Kwa anayemjua diwani wa eneo hilo jamani tumtaje hapa aje kutoa maelezo
  8. Mshobaa

    Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani Tegeta A

    Sawa sawa mkuu kula maisha wakati ndio huu
  9. Mshobaa

    Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani Tegeta A

    Na pia sio sababu ya kutopewa huduma za kijamii
  10. Mshobaa

    Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani Tegeta A

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  11. Mshobaa

    Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

    Hizi ni picha za baadhi ya maeneo korofi
  12. Mshobaa

    Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

    Jana tumezibiwa njia siku nzima na lori la mchanga lililodumbukia tena kwa mara nyingine hii ni laana walah
Back
Top Bottom