Recent content by mshale21

  1. mshale21

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Subscribed Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
  2. mshale21

    Basi la Happy Nation lapata ajali Mikese

    Wanaendesha kiholela sana, Kuna moja limenipita mahali, Driver kama kalewa hivi anataka kutafuna watu Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
  3. mshale21

    Ukimtegemea Mungu maishani utakufa masikini, hakuna utakachofanikiwa

    Hujayajua maandiko matakatifu vizuri, na hujamjua Mungu vizuri " Hujajua principles za utajiri kwa mujibu wa maandiko, ila inaonekana kuna mapito unapitia na bahati mbaya sana ukakosa mshauri mzuri na waajabu Bila kupepesa macho, soma Mithali 23:21 (a) "kwa maana mvivu na mrafi huingia...
  4. mshale21

    Msaada: Naomba kujuzwa juu ya taratibu na gharama za kupiga chipping kwenye nyumba

    Mkuu, nataka kuta zirudi kizamani zamani ila nyumba iwe imara na mwonekano Mzur zaidi
  5. mshale21

    Msaada: Naomba kujuzwa juu ya taratibu na gharama za kupiga chipping kwenye nyumba

    Daaah! Naomba ABC za fundi wako , angalau nipate mwanga kidogo, maana NAHITAJI kujua gharama zinakuwaje kabla sijaanza mchakato
  6. mshale21

    Msaada: Naomba kujuzwa juu ya taratibu na gharama za kupiga chipping kwenye nyumba

    Poleni kwa mahangaiko ya hapa na pale. Kama kichwa tajwa hapo juu, naomba mwenye uelewa wa process nzima ya chipping anipe elimu kidogo, pia gharama zake kwa kuta za nyumba yenye Sqm 72, maana nawaza jambo hili kulifanya katika nyumba yangu Natanguliza shukrani.
  7. mshale21

    TCRA: Hatujakataza matumizi ya VPN bali ni kusajili na kutoa taarifa ya matumizi ya VPN

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Rolf Kibaja imesema taarifa kwa Umma iliyotolewa juzi October 13,2023 haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya Watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii. Kibaja ameiambia Ayo TV...
  8. mshale21

    Watu wa kuchora ramani za nyumba punguzeni udalali

    Me nlidaka kwa 30k faster nikatembea zangu
  9. mshale21

    Gharama za kuskimu nyumba hii

    Kwa hyo ukitaka Kuskim kwa jk wall putty ukuta unatakiwa umepigwa plaster kwa mkono bao roughly?
  10. mshale21

    Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    ingekuwa poa sana ningekuwa nafanya kazi NHIF, ila hata fikra hizo hazipo, nimegombana nao sana kwa nyakati tofauti tofauti, nawafahamu sana, changamoto zao ni financial management kama Dulu zisemavyo wanajipigia hela za wanachama, ila upande wa huduma tusiwaonee hivyo, watu wanafanyiwa...
  11. mshale21

    Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Strategies wako mikoa mingi sana, ila ada ya kuchangia malipo ya uanachama yako juu sana kuliko watu wanavyofikiria, NHIF wana gharama ndogo sana kulinganisha na hao wengine
  12. mshale21

    Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Wanaabdikisha watoto kupitia shule, so kama una mtoto yuko shule , gharama ni ndogo sana tsh. 50400/=per year
Back
Top Bottom