Recent content by Mserengeti

  1. M

    Alama ya Taifa ni kitu gani?

    tuewekee na picha inayoonesha rangi na alama ya sasa,we cant relie on you
  2. M

    Serikali ya CCM ijiuzulu sasa hivi!

    WE NEED NEW LEADERS WITH VISION,NOT RE-CYCLED LEADERS WENYE ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA ISIYO NA MUELEKEO.
  3. M

    Mbeya waichezesha kwata CCM - Mawaziri wazomewa

    walikosea,wakati wanazomewa Mwakyembe angesimama na kusema KIDUMU KYAMA KYA MAPINDUSIIIIIIII,
  4. M

    Seif Khatib: Kuzomewa Ni Gharama Ya Siasa

    nenda kwenye blog ya mjengwa uone,gari anayotumia ni ya serikali
  5. M

    Seif Khatib: Kuzomewa Ni Gharama Ya Siasa

    nenda kwenye bog ya mjengwa uone,gari anayotumia ni ya serikali
  6. M

    Tukimbilie wapi na serikali hii?

    its we who can bring changes
  7. M

    Seif Khatib: Kuzomewa Ni Gharama Ya Siasa

    siasa inafurahisha sana,ni kweli hilo wanalijua lakini halikuzoeleka kwa waziri kuzomewa. ila nadhani wanajifanya wanapenda kuzomewa sasa.nilipata kuhudhuria mkutano mmoja wa CCM mjumbe fulani aliposimama wananchi wakaanza kumzomea kwa sauti,alichofanya badala ya kuendelea na hotuba...
  8. M

    Kimbembe cha mahabusu

    pole sana,koba.ama kweli humu JF tupo mchanganyiko tosha
  9. M

    Kimbembe cha mahabusu

    Kimbembe:Mahabusu Dar wazua zali upyaa! 2007-10-02 17:05:12 Na Mwandishi Wetu, Jijini Baada ya kutuliza boli kwa muda, mahabusu Jijini Dar es Salaam wameanzisha zali upyaa kwa kutia ngumu kushuka kutoka kwenye karandinda na kwenda kortini. Kimbembe hicho kimeanza leo asubuhii...
  10. M

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    makamu wa Rais DR.Shein mvuto hana,mvuto wake naweza nikaufananisha na mwenge wa uhuru siku hizi,maana ili upate watu lazima wananchi walazimishwe kutokwenda mashambani,na wachaga wafunge maduka,kutishiana faini na nzagu. tumemuachia kazi ya kutembea na mkasi mfukoni tu ili awe anafanya...
  11. M

    UFISADI: The Making Of IPTL

    its a nice report,ila wataalam iwekeni sawa kama mlivyofanya ile report ya mafisadi(make it user friendly)
  12. M

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    nadhani kuna kitu prof.Chachage alitaka kutuambia kwenye kitabu chake cha makuwadi wa soko huria,binafsi nilisoma uchambuzi wake tu,lakini kitabu sijakisoma.leo nakitafuta nijue mle ndani alikua anasema nini hasa. LAITI KAMA ANGEKUWEPO..................(Sijui ingekuwaje)
  13. M

    Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

    Kwakuongezea,na wale wenye hayo yote lakini wanatetea wanyonge kipi bora,heri fuska mzalendo na mpigania haki kuliko fuska asiekua na kazi ya ziada yaani yeye ni kuharibu dada zetu tuuuuuuuu,niliwahi sema hapa hapa jamboforums,ufuska wa mtu tusiutumie kama kigezo cha kutafutia mtendaji...
  14. M

    Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

    nadhani hawa wanataka kutuletea vurugu tu,i think wezi wametengenezwa ni mifumo ya wakati huo,the system wa loose.ukianza kuchunguza samaki wadogo ambao kwa kweli ndi tulio wengi,na kwa kipato chetu mfano mimi binafsi i cant explain nimejenga vipi,hata yeye mwenyewe Hosea hawezi akatuambia...
  15. M

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    mtanganyika tuambie haya mambo yake ya shule,kata nondo zake
Back
Top Bottom