Recent content by Smith Rowe

  1. Smith Rowe

    Bonde la Mkwajuni lafurika maji

    Watanzania wengi sana ni illiterate na hawajui haki zao wala wajibu, kama hapo anabembeleza wajengewe daraja kama ni hisani vile.
  2. Smith Rowe

    Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Huwa nashangaa sana watu wanaokula biringanya japo familia inakula. Ila mimi hata kuiona kwenye chakula napata shida.
  3. Smith Rowe

    Maajabu ya Dunia!

    Safi sana
  4. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Timu yetu bado sio ya kuwekea matumaini makubwa bado kuna vijana wengi wasio na expirience kubwa.
  5. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    ''UEFA tunayemuogopa labda Madrid kwa mbali, huyu Bayern tutapiga nje na ndani'' huyu jamaa anawaona mashabiki wa arsenal kama watoto wake. Kuna mashabiki wa arsenal wakiwa wanaiongelea arsenal hadi unahisi hawa watu kuna majani wanakula au.
  6. Smith Rowe

    Maumivu yanayohama mgongoni na kiunoni

    Nenda hospital mkuu. Hospital nzuri, nakazia hospital yenye huduma bora.
  7. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal haina tofauti na Masantula kwa sasa.
  8. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kikundi cha vichekesho
  9. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Phase ya ngapi hii?
  10. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndo kwanza, bado kuna mechi mbili tunapoteza, tumalize wapili.
  11. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pumbavu wahed kikundi cha wahuni hiki, na Bayern akajipigie tuu wiki ijayo.
  12. Smith Rowe

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kipara anatucheka mda huu
  13. Smith Rowe

    Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Kweli kabisa na hii mada ya huyu mtu mweusi inadhihirisha.
  14. Smith Rowe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Acha kuandika ujinga
Back
Top Bottom