Recent content by The Khoisan

  1. The Khoisan

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Ni wazo zuri, ila kwa ngazi za serikali hasa Wakurugenzi na Wakuu wa Mashirika ya Umma. Mawaziri ni Big NO.
  2. The Khoisan

    Mbowe kuongoza Maandamano Bukoba 22/04/2024 Uso kwa Uso na Faris Buruhan wa UVCCM

    Yaani huyo muhuni unamuita mwamba..... Tena unaandika m kwa herufi kubwa!!?
  3. The Khoisan

    Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran

    Wahuni tu hao. Mafuta yakishuka bei wao hawashudhi au wananadhusja kidogo lakini yakipanda bei wanawaoiga wananchi kisawasawa. Hii ni cartel ya maharamia fulani duniani.
  4. The Khoisan

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Cheo cha Makada kupozwa. Huyo mdada nafikiri atakuwa ni Mjukuu wa Kawawa.... Jina la mwisho litakuwa la Mumewe. Just thinking...!!
  5. The Khoisan

    CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Siyo mpumbavu bali kawa mkweli. Kwa hilo Maza hatahusishwa as if hajui kinachoendelea..... 4Rs, yah, yah, yah, yah.
  6. The Khoisan

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Mimi ninayo ya ukweli siyo hiyo ya kupewa.
  7. The Khoisan

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Kuniita mimi mjinga hakukufanyi wewe uwe na akili. Hiyo ni mfano tu. Wewe huoni kama kuna kitu kisicho cha kawaida hapa. Yaani kila mwaliko mtu anatoka na PhD. Yah right....!!
  8. The Khoisan

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Yaani hizi honorary degrees inatolewa sana kwa viongozi wa Afrika kwa vile wamewaona ni malimbukeni. Akina Mangungo walikuwa wanahongwa shanga, sasa wanahongwa degree. Huwezi kusikia akina Putin, Modi, Erdigan au Sunak ametunukiwa hizo shahada. Likitokea hawatatumia hizo title. Kitu cha...
  9. The Khoisan

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hakuna sheria wanayovunja. Ila wanaonekana ni malimbukeni tu.
  10. The Khoisan

    Dkt. Nchimbi: CCM ikikosa Umoja Itasambaratika na Mwisho wake ni Kuisambaratisha Nchi, Anayefarakanisha Wenzake Hatufai!

    Wameanza kumtarget Bashite... Hilo ndongo lazima lina mlengwa.
  11. The Khoisan

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Alijua tofauti. Ndiyo maana hawakujiita CPA lakini wakajiita Dr. Watu wanashindwa kujiuliza tu kitu kidogo, hivi kwa nini ukiangalia news BBC, CNN etc huwezi kukutana hizo title zikitumika!? Hivi wenye hizo title hawahojiwi kwenye international media...!?
  12. The Khoisan

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    No wonder zinatembea mtaani. Ndiyo design zako.... No wonder hata wajinga ujinga kama wewe wanazo. Mimi siihitaji hiyo title fake, tayari nina title inayotambulika duniani. Nikipenda mahali siihitaji kuelezea maana ya title yangu.
  13. The Khoisan

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Dame Acha ujinga. Tuambie wapi CPA ni title same as Dr. Kama wewe hujui maana take shauri yako. Akina Mengi (RIP) na Mkono (RIP) walikuwa watu wa mwanzo kuzipata hizo. Hukuwaona wanazitumia kama title till hiki kizazi chenu cha kutaka kujionyesha.
  14. The Khoisan

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Sawa sijakataa kuwa hamumuelewi. Ndiyo maana nimesema somewhere kuwa Tanzania wataekewa. Ila wakitoka nje ya nchi hakuna atakayekuelewa tofauti na title nyingine. Made in Tanzania.
Back
Top Bottom