Recent content by 5525

  1. 5

    Russia yaweka mifumo ya Pantsir juu ya jengo la Ulinzi na Jengo refu Moscow

    Nafasi za ajira zimetangazwa leo rasmi na Mrusi vijana wa umri 22 hadi 50 kujiunga na Wagner Group wakaisaidie Russia dhidi ya Ukraine, na utalipwa vizuri sana., wahi sasa nafasi ni chache usiishie tu hapa JF na Tecno yako utalipwa vizuri Rubu 240,000 kwa mwezi, Kwa ninavyokujua hutaacha hii...
  2. 5

    Urusi waanza kutafuta msaada wa wapiganaji kutokea Serbia

    Umeongea pumba sana Marekani ataingia vipi vitani bila Nato ambao wanakula posho toka kuasisiwa kwao? wewe wahi kujiungana Wagner group wametanganza nafasi za ajira utalipwa vizuri, nafasi ni chache
  3. 5

    Tundu Lissu: Nikitua tu nchini Tanzania Jumatano naenda direct kuhutubia Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama, bado nadai kiinua mgongo Tsh 100mil

    Tundu Lisu is a coward master., atakuja siku mbili tatu halafu atasema kaitwa na madktari wake ubeligiji, apo tena ndio kwisha atakuja kwa kugombea urais 2025 na chadema ikikosa urais atarudi tena belgium, kumbukeni Lisu ana stahiki zote sasa akiamua kubaki belgium kama raia., shavu dodo ..,
  4. 5

    Hili ndilo kombora la x -22 lililotumika na Russia kushambulia jengo refu katika mji wa Dnieper

    Putini anauliwa askari wake zaidi ya 400 yeye anajibu kwa kuua raia., poor putin..,
  5. 5

    Hili ndilo kombora la x -22 lililotumika na Russia kushambulia jengo refu katika mji wa Dnieper

    Putini anauliwa wanajeshi wake zaidi ya 400 yeye anajibu kwa kuua raia wapatao 30 kwenye jengo
  6. 5

    Ukraine: Michango ya vifaa vya kijeshi inadhoofisha Jeshi la Uingereza - Mkuu wa Jeshi

    Wanajeshi wa ukraine wapo US wanapata mafunzo ya kutumia Patriots kwa muda hivi, nadhan wakianza kutumia huo mzigo wa Patriots biashara ya putin kukodi silaha itakuwa imemaliza kabisa kabisa na atatanga hali ya hatari Moscow
  7. 5

    Ukraine: Michango ya vifaa vya kijeshi inadhoofisha Jeshi la Uingereza - Mkuu wa Jeshi

    Wewe uko gongo la mboto hujuwi wala hutaki kujua kinachotokea ,Jiulize putin alitangaza ataisambaratisha Ukrane kwa saa 72 lakini akasema miezi 6 sasa ni muda gani? miji aliyochukua putin na kuipigia kura tayari jimbo la Kherson lipo chini ya Ukraine na putin hajasubutu kuliteka tena, Kharkiv...
  8. 5

    Ukraine: Michango ya vifaa vya kijeshi inadhoofisha Jeshi la Uingereza - Mkuu wa Jeshi

    Nani kakwambia, Nchi za Nato sasa zinaongezeka badala putin kutaka kuwagawanya, Japan, Finland, Ukraine etc wanaenda zao Nato full respect. Nchi zinazounga mkono Urusi hazina influence yoyote kiuchumi duniani na hata hizo ulizotaja hazina hatua yoyote bila mgharibi, Marekani aliiteka dunia...
  9. 5

    Ukraine: Michango ya vifaa vya kijeshi inadhoofisha Jeshi la Uingereza - Mkuu wa Jeshi

    Putin kachoka sana kumbuka alianza na vifaru msururu toka gongo la mboto hadi posta sasa anaazima silaha iran lakini anakodi makundi ya Wagner na islamic state toka syria vijana wake 400 na wanajeshi wake wote wamefyekwa
  10. 5

    Ukraine: Michango ya vifaa vya kijeshi inadhoofisha Jeshi la Uingereza - Mkuu wa Jeshi

    Russia alimaliza silaha zake tokea miezi 6 ya kwanza ya uvamizi sasa anaokotea kwa jirani Iran na North Korea kwisha habari yake
  11. 5

    Ukraine: Michango ya vifaa vya kijeshi inadhoofisha Jeshi la Uingereza - Mkuu wa Jeshi

    Urusi tayari mkuu miguu juu, silaha zinazotumika sasa toka urusi ni kutoka Iran, Iran wamejichimbia Cremea wanatoa mafunzo kwa jeshi la urusi pamoja kutengeneza drons sasa mrusi yuko wapi tena hapo?
  12. 5

    Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

    Narudia tena google sio msahafu watu wa ngapi wamekuwa wakiishtaki google na wikipedia kwa kuweka taarifa za uongo zinazowahusu, sio kila kilicho kwenye google ni kweli, taka kujua kwanza ni nani aliyeasisi google search na kwa nini asiweke taarifa zinazogongana (uongo). Na google ndio search...
  13. 5

    Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

    Pole sana ndugu yangu., ulisoma chuo gani na kuaminishwa habari za google ndio habari halisi
  14. 5

    Lissu akubali Tanzania ni salama na Rais Samia

    Chadema imekufa ndo anarudi
  15. 5

    Putin ajisahau na amuwakia waziri hadharani, jamaa ana msongo sana

    Ndio mana hajali kuulisha wenzake kila uchao anapeleka mamluki baada ya askari wake kula shaba
Back
Top Bottom