Recent content by Mr EWA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha katika Jiji la Arusha kupitia ukusanyaji wa fedha za Usafi Mitaani

    Kujifunza ni pamoja na kusikiliza ushauri wa watu wengine, Tumekushauri kuwa makadirio yako yana makosa mengi sana ikifuatiwa na msukumo wa kiitikadi ya kisiasa, Jaribu kuhudhuria mikutano ya mitaa na fika ofisi za mitaa na kata uliza chochote unachokuwa na mashaka utajulishwa, Hoja zako kiufupi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha katika Jiji la Arusha kupitia ukusanyaji wa fedha za Usafi Mitaani

    Ukitanguliwa na mihemko unajikuta unashindwa kujenga hoja vizuri, Kwanza kila mtaa umejipangia kiasi gani kilipwe kwa kila kaya na si 2,000/= kila kaya kwa mitaa yote kama unavyotaka kutuaminisha, Pili rudi kafanye utafiti ujue mtaa mmoja una kaya ngapi na mapato yanayopatikana kwa mwezi kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ukiambatana na Kingunge kujibu hoja za Prof. Lipumba umekwisha

    Ushabiki wa Siasa ni tofauti kabisa na ushabiki wa michezo mingine,Kwanini tuwalazimishe watu wamshabikie au kumpenda kiongozi fulani na hatufanyi hivyo kwenye ushabiki wa michezo, tujijengee mazoea ya kuwaachia watu washabikie au kupenda kiongozi yeyote na tujikite kwenye kupambanisha hoja.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ongezea tofauti kati ya Mbowe na Zitto hapa

    Mleta uzi naona amekuja kupima joto la mahasimu wawili likoje kwa sasa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa "Bunge Live" wamwandama Nape

    Baada ya Muda kidogo watabaini ushauri huo haukuwa mzuri hata kidogo,tuvute subira kidogo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais na Serikali wanawahadaa wafanyakazi kuhusu punguzo la kodi?

    Nafikiri Wahusika pia wanajua kuwa somo la Hesabu ni janga kwa watu wengi ndio sababu ya kuwahadaa wananchi namna hiyo. Kwa uzoefu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara husika,Waziri husoma kwa style ya kuwachanganya wasikilizaji yani atasema hivi: 1.Mapato yasiyozidi 2,040,000/= ( ambayo ni shs...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kumkabidhi Magufuli CCM waanza

    Wacha wampe ili ajenge heshima kwenye chama pia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafanyakazi yatangazwa na Rais Magufuli

    Watu wa mahesabu ni wajanja sana,wanakuaminisha namba ndogo ukija uhalisia unakuta umekatwa zaidi ya 20%. Afadhali amejaribu kupunguza watu wa TRA nao wawe na huruma na watumishi katika kuweka hizo fomulars zao.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais JPM usiruhusu kosa hili lijirudie.

    Vyama vingi vilivyopo madarakani huogopa sana mambo ya katiba.sidhani kama hoja hii ikafanikiwa kwa wakati huu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

    Bingo imemjia Askari kwa namna ambayo hakuitegemea.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

    Ni Bora amekiri kuliko kukaa kimya Jambo la msingi ni kuwa na washauri wazuri na akipewa ushauri ajiridhishe kabla ya kuufanyia kazi, Amwombe Mwenyezi Mungu amwongoze vyema katika majukumu yake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Mleta uzi tusaidie kutuelewesha kiasi hicho cha fedha kinaweza kubadilishwa hapo uwanja wa ndege?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaompinga Rais kutumbua majibu hamna uzalendo

    Yawezekana anachofanya hivi Rais ni kutokana na hali kuwa mbaya sana lakini asisahau kuwa na yeye amekuwa kwenye mfumo huo kwa miaka kadhaa kwenye Wizara mbalimbali. Ushauri wangu kwa Mhe. Rais kazi hii ni ngumu kufanywa na mtu mmoja ni Jambo zuri kurekebisha sheria mbalimbali zinazoonyesha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    Ndio kusoma namba kwenyewe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Rorya: Viongozi Wa Kitaifa Wanakiua Chama!

    Mkuu ujumbe huu ni mzito kwa wahusika.
Back
Top Bottom