Recent content by Ndenji five

  1. Ndenji five

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu mpoo ole wenu mlie lie hapa kimya kimya lost kaa pemben leo nabii wenu tu ndio inabidi niflaiiii
  2. Ndenji five

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nimewaiga mia mia tunajifurahisha Tuna lost yotee ameee
  3. Ndenji five

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Arseno arseno arseno nahisi kuchanganyikiwa moyo unaniuma sina amani natamani kujiua mimi wakukosa m80 kisa team moja bora ningesikiliza ya wakamalia wenzangu kash out sura yangu naiweka wapi mimi mr bann milion 80 nimezikosa ee mungu kwann umeruhusu haya nimekukosea nini mimi haki ya mungu...
  4. Ndenji five

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    shida sio mipango shida kanji
  5. Ndenji five

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    inatosha tena ni nyingi kwa kias chake sema nini comment zangu za mwanzo nilisema kanji ajipange kwahiyo sina wasiwas hata kidogo update mtapata j mos saa sita usiku kama watanitangaza mtaniona kwenye tv tokea hapo ndio nitaanza kutoa code hapa kanji kaniletea dharau sana nimemchoka wale...
  6. Ndenji five

    Je, tishio la El-nino ni mbinu kututoa DP World!

    Leo ndio napata maana ya ndoto niliyoota na ilijirudia karibu mara 7 ndan ya mwezi hatimaye yanatakatimia aisee tumekwisha, watu 1625284 finish tujiandae ki saikolojia
  7. Ndenji five

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    cashout inasoma 64 na point bado game mbili kesho na j mos maomb yenu tafathari
  8. Ndenji five

    Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    nitofautishie kati ya uashelati na uzinzi? Alafu nikwambie kitu
  9. Ndenji five

    Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Ungekuwa hvy bas sueleman angekufa siku ya pili toka anamalizia kuwa t... Wale mabint au mnasemaje wanangu,... Na huyo mungu bas hana msimamo mana ana wivu wa kipuuz au mnasemaje wanangu? Mtoa mada tuonyeshe andiko au mnasemaje wanangu,? Na hilo andiko hatulikubali maana wameandika watu kama...
  10. Ndenji five

    Wanawake wanavutiwa na mambo haya

    Mwanaume anaefanya vitu kumfurahisha mwanamke huyo ni tatizo kuliko tatizo lenyewe broo stuka utapigwa mpini ooh
  11. Ndenji five

    Wanawake wanavutiwa na mambo haya

    Mwanaume anaefanya vitu kumfurahisha mwanamke huyo ni tatizo kuliko tatz lenyewe broo stuka utapigwa mpini ooh
Back
Top Bottom