Recent content by Mpogoro

  1. Mpogoro

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Not practical, itafanya kazi kwa matajiri labda ila kama hakuna suspicion sioni kwanini ujisumbue na ma-DNA. Na hapa naongelea case ya watu ambao wamo kwenye ndoa!
  2. Mpogoro

    Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

    Unaweza kunisaidia ku-unlock hii ya Tigo?
  3. Mpogoro

    Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

    Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni. ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02 ya Tigo ni: Mobile WiFi E5573Cs - 322 Nime-attach picha zake. Kama hizi haziwezi kuwa unlocked kwa sasa tafadhali...
  4. Mpogoro

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Jokajeusi, Wewe kweli hujielewi...unaongelea uwepo wa "SHERIA" halafu wakati huo huo hutaki kutambua usawa kati ya mwanaume na mwanaume. Sheria hizo unazozitaja zinatoa nafasi ya namna fulani ya usawa kati ya mwanaume na mwanamke. Kama mwanaume huwezi kuwa unapigia kelele juu ya umuhimu wa...
  5. Mpogoro

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Jokajeusi, Kwanini suala la bikra limuhusu mwanamke tu? Kama ni suala la msingi sana kwenye ndoa kwanini lisimuhusu mwanamke tu wakati ndoa ni jambo linaloshirikisha watu wawili? Halafu bikra ina maana gani hasa? Kwamba ikiwa una mwanamke ambaye amekuwa anaingiliwa kinyume na maumbile, yaani...
  6. Mpogoro

    Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

    colin_morgan, Mkuu wanawake wote wananuna na kwa akili zetu wanaume yaani huwa hatuwezi kuona kwa sababu gani wananuna, yaani huwa tunaona sababu zao hazina maana. Na ni kweli kuna nyakati sababu zao hazina maana kabisa! Siri moja nikupe...wanawake wanapenda sana kuwa "in control", hivyo...
  7. Mpogoro

    Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Beira Boy, Kwa hiyo katiba ya CCM, katiba ya nchi ikibadilika atendelea kubaki. Ndio kusema bado ana nafasi ya kubaki ikiwa katiba ya CCM, ya nchi zitabadilishwa kumpa nafasi kuendelea. Sababu hasa inayonifanya niandike hivi ni kuwa ukiacha Nyerere sidhani kama kuna raisi mwingine ambaye...
  8. Mpogoro

    Acha kukimbizana na kila fursa inayokuja mbele kabla ya kwanza haijasimama

    Makirita Amani, Nimependa sana hili bandiko ila nitachangia mambo mawili matatu kupigia msumari. Nafikiri moja ya changamoto ya kizazi hiki chetu cha sasa ni SUBIRA/UVUMILIVU. Kizazi hiki kinataka matokeo makubwa na ya haraka. Sasa sisemi kuwa matokeo ya haraka hayawezekani ila kila kitu...
  9. Mpogoro

    Namba ya simu ya Waziri Lukuvi

    Habari wana JamiiForums, Naweza vipi kupata number ya simu ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Bw. Lukuvi? Kuna changamoto ya ardhi mkoani Morogoro ambayo tunahitaji usaidizi wake.
  10. Mpogoro

    Ifahamu dola ya Maya iliyooneshwa kwenye filamu ya Mel Gibson "Apocalypto"

    Nilifika Mexico kwa shughuli za kazi basi nikabahatika kwenda kutembelea eneo hilo na wenyeji wangu. Nilistaajabishwa sana na maendeleo ambayo hii jamii ilikuwa imefikia hasa kwenye mambo ya architecture na astronomy.
  11. Mpogoro

    Ifahamu dola ya Maya iliyooneshwa kwenye filamu ya Mel Gibson "Apocalypto"

    Safi sana! Niliwahi kufika kwenye kwenye himaya ya Maya huko Chichen Itza, Mexico mwaka 2017. Makala yako imenikumbusha mbali sana!
  12. Mpogoro

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Hakuna mwanamke mbaya au ambaye hana mvuto kabisa. Ni kweli kuwa kuna wengine wana mvuto kuliko wengine ila kwa ujumla wanawake wote wazuri. Nafikiri kinachotokea hapa ni kuwa umemzoea mke wako kwa hivyo unamchukulia poa, changamoto ambayo wanaume wengine tulio kwenye ndoa tunaweza kukumbana...
  13. Mpogoro

    USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Pengine umeshapewa ushauri wa kutosha sana kuhusu matumizi ya pesa na kuweka akiba lakini kama kaka mkubwa nafikiri nina nafasi ya kuchangia kupigilia msumari yale yote ambayo umekwishaambiwa. Kuna methali moja inanijia kichwani hapa "Mali bila daftari hutumika bila habari". Methali hii...
  14. Mpogoro

    Unawezaje kutokuwa na maelewano mazuri na wazazi wako kisa mke?

    Stori yako inaonesha mlikuwa au bado mna changamoto ya mawasiliano. Kama kweli mna mawasiliano na kuna uwazi kwenye ndoa yenu yakiwemo mambo ya pesa basi ni ngumu mkeo kufanya kitu kama hiki. Sasa jiulize, kuna vitu vingapi ambavyo mkeo amevifanya namna hii? Usitumie tu ukali, pengine chukua...
  15. Mpogoro

    Bodi ya mikopo tujaribu ubunifu zaidi baada ya nguvu bila maarifa

    Siku chache zilizopita nilitumiwa picha ya frontpage ya gazeti moja likimnukuu Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu akisema "Wadaiwa Bodi ya Mikopo Kusakwa Majumbani Usiku" nikashtushwa kidogo nikasema nitakapopata muda nitajaribu kuweka bandiko moja hapa nitoe maoni yangu kuhusu ulipaji...
Back
Top Bottom