Recent content by Mpiganaji

 1. M

  Fanuel Sedekia ni marehemu!

  Nilizipenda sana nyimbo zako, Ulale vyema na upumzike kwa amani. Amen!!!!
 2. M

  Captain George Mazula Afariki

  RIP Mazula, jamaa alikuwa india anatibiwa.
 3. M

  T.I D agombewa na wafungwa

  Pamoja na sheria kufata mkondo wake, inasemekana aliyepgwa ni ni mtoto wa mkuu wa msafara wa mkuu wa nchi. na yule hakimu alivuta mkwanja toka kwa TIJ na baada upande wa pili kujua wakaende kumsemea mbovu hakima kwamba wameshajua kavuta, hakimu kaogopa ndio siku ya siku hukumu ikatolewa bila...
 4. M

  TID awekwa jela mwaka mmoja

  zungu unataka nini sasa hapo kila kitu kimeelezwa.
 5. M

  TID awekwa jela mwaka mmoja

  ni kwamba huyu bwana amefungwa jela Mwaka mmoja na Mahakama moja ya Mwanzo Kariakoo baada ya kutiwa hatiani kwa kumshambulia mkazi mmoja wa Dar. Haijulikani kama amekwenda Jela ama atalipa faini, lakini kwa kawaida Kosa kama hili mfungwa hupewa nafuu ya adhabu kwa kulipa faini na hasa kama...
 6. M

  TID awekwa jela mwaka mmoja

  Breaking news: the famous musician in town TID has been jailed for one year after being convicted on charges of assault.
 7. M

  Ndege ya Rais yagongwa na Gari la Usalama wa Taifa

  ni hivi hiyo ndege ilikuwa imepaki sehemu yake na hilo gari ni la usalama wa taifa lilikuwa linarudi nyuma baada ya kumaliza shughuli za kusafirisha wageni. kuliendelea mjadala mkubwa eti kwa nini ndege imepaki pale, hawa wenzetu bwana badala ya kujiuliza wao kwa nini gari limeingia uwanjani...
 8. M

  Simbo Ntiro - Sad News

  R.I.P. Bro
 9. M

  Amatus Liyumba: Balaa!

  hizo PM basi jamani na mi nazi-mind maana inaonekana kuna mengi zaidi huko, au kama vipi tumwage hapa hapa.
 10. M

  Meeting with Mr. President

  joke nyingine bwana, watu wanaongea vitu serious wengine wanaleta utani, au unatamani nafasi hiyo ungepata wewe, tabia zako ni kama jina lao nini?? jaribu kuwa na busara bwana. invisible eeh tafadhali nenda na uje utueleze yaliyojili achana na huyo shetwani.
 11. M

  Mbunge Nyalandu ndoa na Faraja Kota

  EEh hatimaye haya bwana tunamuombea kheri tu na atulie haswa.
 12. M

  BBA 2: Mtanzania ashinda!

  nimeshangaa kusikia na wanaccm nao wanaandaa mapokezi eeh shughuli ishakuwa yao, raha raha sana.
 13. M

  Fununu: Mabadiliko Jumatano ya Baraza la Mawaziri

  mmh na yaje tu hayo mabadiliko maana, ila bila kuwatoa mafisadi itakuwa haina maana.
Top