Recent content by Mpanda Merikebu

 1. M

  Kikwete amteua Peter Noni Mkurugenzi mpya TIB!

  Rostam anaangalia mlo mpya (TIB) na kumwekeza kibaraka/mshirika wake. Kweli JK kapotoka au ndio sikio la kufa halisikii dawa?
 2. M

  Elections 2010 CCM waweka mkakati kutumia UV-CCM kumng'oa Mbunge Ndesamburo

  Kwa heshima na taadhima, Mzalendo Halisi, haya ya Ngawaiya kuzaa na dada wa kichagga na kisha kumfungulia biashara (Dar) au anatembea na Lady JD yanahusiana vipi na siasa za Kilimanjaro? Kwani na sisi tuna vitabia vyetu kama wanadamu ambavyo haviingiliani na shughuli zetu za kazi?
 3. M

  Who would you like to meet and why?

  Ningependa kumwona BWM na posse yake wakija mbele ya wana JF tuwaulize "why"? Pia, NN because he's funny; Mwanakijiji because he's got guts, Mods ili niwape shukrani kwa kuanzisha jamvi hili.
 4. M

  Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

  mmhh, naona hii topic ilianzishwa kwa nia njema na sasa imepoteza dira na mwelekeo!
 5. M

  Yona calls it a day: Leaves UK oil company in limbo

  I wish Tanzanian leaders could do the same when it is known that there is a cloud over their leadership. Why do it while working for foreign companies and not your country? What a shame!
 6. M

  Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

  Mkuu FM nakubaliana nawe kwenye hii issue ya jamii kupaswa kulaumiwa. Ninashangaa sana kama majuzi ambapo ippmedia wameweka picha ya mbuzi anayechinjwa kwenye ukurasa wa mbele. Naelewa huku majuu wanasema "sex sells"; je kwetu wanahabari wanafikiri kuwa "violence sells"?
 7. M

  Andrew, Omari, Cornell and Robert

  Moja ya viungo vyao ni Ben!
 8. M

  Hold your comments (angalia usitoe maoni)

  hii ni picha kutoka google image? Najua unaweza kuipata. Kwa wenzetu huwezi kuzoom in kiasi hicho, iwe ni Cook nuclear plant in Bridgman, MI au wizara ya ulinzi au nyumba nyeupe
 9. M

  Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

  Good lookin out bro!
 10. M

  Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

  Sha Mkumbo, Songela gwa mzee kwa ushauri wa busara. I read what Mwanakijiji writes, I am very aware of what some politicians are doing to condemn our govt and I have a great deal of respect and appreciation for others like teachers who work in great hardships along with doctors, police, etc...
 11. M

  Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

  It's great to analyze all these circumstances and be critical of the government. However, the more critical issue is, where do we fit in? What have we specifically, as individuals done to condone govt's inaction? How many have thought of volunteering to go to these areas and educate ward...
 12. M

  If our President has more than one wife: The question of human rights

  Chuma, Thanks and I stand corrected, at wee hours I wasn't thinking right. However, the basics are the same, having more than one partner at a time. Shukran mkuu
 13. M

  Vifo vya watoto hawa 2 vichunguzwe!

  NN, Usiwe na wasi, kuna watu wanaofurahia posts zako kama Mpanda Merikebu. You may not be a good author but you are a great writer, humorist. I bet some people hated on Mark Twain his day because they couldn't get his humor and great message that it carried. I like how you put serious matter...
 14. M

  If our President has more than one wife: The question of human rights

  Kitu kimoja nimegundua hapa ni kuwa kuna baadhi ya watu wana dhana potofu juu ya polygamy. Wanafikiri kuwa polygamy inatokea pale mtu anapooa zaidi ya mke (au mume) mmoja wakati ukweli ni kuwa polygamy hutokea pale mtu anapokuwa na mpenzi zaidi ya mmoja (bila kujali status ya ndoa) kwa wakati...
Top Bottom