Recent content by Mpambalyoto

  1. Mpambalyoto

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    Hapo pagumu, ndo kutokuaminika kwa JK kunapodhihirishwa
  2. Mpambalyoto

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    Nadhani kati ya Makamba na Nnauye kuna mtu kaoa dada wa mwenzie, I stand to be corrected
  3. Mpambalyoto

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    JK bwana, kama katuni vile
  4. Mpambalyoto

    Nape Kuzungumza Na Wanahabari Usiku Huu?

    Kuna watu hata wakivua roho, hawaaminiki
  5. Mpambalyoto

    Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri!

    JK kapewa miaka 5 na 82% kapiga sound tu no content, sasa atafanya miujiza ya Babu na 61%
  6. Mpambalyoto

    Watoto waletwa kujaza viti Karimjee Hall-Katiba

    Unawatafuta? Wamelala fofofo wanagawana wanawake na wanaume. Akili zao kama za watawala wao!
  7. Mpambalyoto

    Zitto kugombea urais 2015?

    Mkuu Ikifika miaka hiyo kijana atakuwa na kibarua kigumu kuliko maelezo. Nyota zaitakuwa nyingi zaidi
  8. Mpambalyoto

    Mnyika, Zitto na Regia: Tupeni mchanganuo wa hela zinazolipwa kwa Mbunge ili tujue

    Wahesimiwa wabunge mnapata homa kali kwenye hili la kutaja maslahi? aaaaaaaaggggggggggggggghhhhhhhh!!!!!!!!!!!!! Hongera Regia
  9. Mpambalyoto

    Nani ni waziri wa wizara ya Nishati na Madini, January Makamba au William Ngeleja?

    Siku nitakapothibisiwa kuna tofauti kati ya William Ngeleja na January Makamba, ndio nitaweza kuchagia hoja, kwa sasa:hand:
  10. Mpambalyoto

    kufumania

    Huwa hakuna maandalizi ya kitakachotokea. Kitatokea kitakachookea eneo la tukio
  11. Mpambalyoto

    Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

    Hivi wewe Darwin ni mwanaume wa karne ipi? Ni kaka wa Zinjanthropas au? Kabla hujasema huyapendi thibisha kuwa wewe huyatendi hayo kwa mwenzi wako
  12. Mpambalyoto

    Amekutwa na ky jelly!

    Ukimchunguza bata humli ng'o!!!
  13. Mpambalyoto

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Hawa wenye hizi TV LABDA mpaka ziwe kampeni za siasa, wahongwe au walipwe na UNDP ndo wataonesha!
  14. Mpambalyoto

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Kama usiku hali ni hii, asubuhi kukikucha tutashuhudia maajabu
Back
Top Bottom