Recent content by Mosha Bahati

  1. Mosha Bahati

    Msaada Mitihani ya kujiunga na VETA

    Mtihani NI uelewa wa kawaida hakuna haja ya kusoma,uko almost kama mtihani wa Darasa la saba
  2. Mosha Bahati

    Tanzania tunawanyonya sana IT experts. Tuwape thamani sawa na kazi zao

    Hii issue ya AI inaenda kuleta disaster kwenye tasnia ya web development
  3. Mosha Bahati

    Mechanical ->Civil engineering au Mechanical-> Electrical Engineering

    Inawezekana kabisa,kikubwa uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea kwa vyuo kama UDSM,Ila kwa vyuo vya technical ni kuanzia GPA ya 3.0.ila kama unabadilisha fani mda wa masomo ni miaka minne sawa na watu wa kidato Cha sita.ila kama fani Yako ni ile ile degree ni miaka mitatu.
  4. Mosha Bahati

    Kwenye Vyuo vya VETA RVTSC, DVTC na VTC inamaanisha nini?

    Dvtc ni vyuo vya wilaya,Rvtc ni vyuo vya mkoa na vtc ni kituo cha kutoa mafunzo ya ufundi mara nyingi vinaendeshwa na watu binafsi.
  5. Mosha Bahati

    Nawashauri Wasanii maarufu Bongo mjiondoe katika Mtandao wa YouTube, Tengenezeni Platform zenu wenyewe

    Ila nawaza,yani Diamond huyu huyu nnajemjua Mimi awe hajawaza wazo la mtoa mada,lazima kuna kitu tusichokijua.
  6. Mosha Bahati

    Is the Postgraduate Dissertation Marks part of the G.P.A Calculation?

    Udsm, Dissertation has no of credits which make up the sum of credits required for award of masters degree.i.e udsm coet is 60 credits, coursework is 120 credits total credits required is 180
  7. Mosha Bahati

    Sababu zinazowafanya wanaume kufa mapema

    Kuna jambo la kuangalia pia,wakati wa utoto mara nyingi watoto Huwa na ukaribu na mama hivyo hutengeneza bond,baba wengi Huwa ni watu wakali Kwa watoto,ni mara chance kukuta watoto Wana ukaribu na baba zao.
  8. Mosha Bahati

    Tupeane mix kali za muziki mtandaoni

    Pia unaweza kupata audio mix apa. Mixcloud Ili kudownload paste link ya audio kwenye. Mixcloud Downloader - Download from Mixcloud
  9. Mosha Bahati

    Inakuwaje waliopata GPA ya 2 wanapata kazi huku waliofaulu zaidi wakiachwa wazurule?

    Kama GPA ndo kigezo cha uwezo,Kusingekuwepo interview
  10. Mosha Bahati

    Wana JamiiForums msaada kupata matokeo ya waliyochaguliwa VETA 2022/2023

    Selection bado hazijatangazwa.yakitangazwa tembelea kituo ulichofanyia mtihani wa usahili.
  11. Mosha Bahati

    Ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?

    Kujiunga VETA huwa kuna interview inafanyika kwenye mwezi WA Kimi,alafu akifaulu anaanza mafunzo January mwaka unaofatia.kwa maelezo zaidi tembelea website ya VETA. Kigezo cha elim NI darasa la Saba na kuendelea.
  12. Mosha Bahati

    Natafuta vituo 10 vya watoto yatima ili kugawana nao kidogo nilichonacho

    Kuna kituo Kiko maeneo ya Zinginziwa gongo la mboto, Wako mazingira magum haswa
  13. Mosha Bahati

    40 days 2022/2023 road trip adventure around Tanzania

    Nshawah kuwa na wazo kama hili,sema Mimi nilitamani kwenda SA,Ila ntajaribu na Mimi ni join this Adventure.tuko pamoja mtoa mada
Back
Top Bottom