Recent content by Nominee

  1. Nominee

    Wenye akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio anapiga penalti ya mwisho

    Mke wa muheshiwa wembo,usiku wote huu unafanya nini Jamiiforums?
  2. Nominee

    Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

    Dodoma Iringa Njombe Dareslam Ruvuma Mwanza Simiyu Kigoma Singida Geita Tabora Shinyanga Kagera Morogoro Pwani Natamani nifike Arushq,kilimanjaro na Zanzibar.
  3. Nominee

    FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

    Naona umewahi seat ya kuanzisha uzi.#SimbaNguvuMoja
  4. Nominee

    Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Hahahahaha,naona umeamua kuendana na ujinga wake
  5. Nominee

    Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

    Ni kweli wewe sio bin'adam uliekamilika.Huwezi kumuwekea virus mtu kwenye laptop yake eti kisa alikukataa.Una ushamba mwingi.Una gubu na chuki kama demu vile.
  6. Nominee

    Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Huku mtaani ni burudani.Kelele zimepungua
  7. Nominee

    Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Nipe elimu mkuu.Unajuaje kwa kumuangalia?
  8. Nominee

    Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Na mwenye Virusi vya ukimwi nae uke wake unatoa hsrufu?.Vijana tuache kubeti afya zetu.Majuto ni mjukuu.MTAJI WA KWANZA NI AFYA
  9. Nominee

    Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Mimi ndie nilieleta hii mada.Kama munabisha kuwa sikufanya hivyo basi endeleeni kubisha.Sio kila unachoona kwako hakipo sawa,basi na kwa wenzako hakipo sawa.Tumeumbwa na fikra tofauti tofauti
  10. Nominee

    Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Mikooouuundouw kama nyie hii ndo dawa yenu.Yani mukiona majina ya kiislam lazima mponde bila kujua kwamba tabia ya mtu haihusiani na dini yake.Unafeeirwa wewe
  11. Nominee

    Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Na wale wanaolawiti watoto makanisani wana majina kama ya hao watekaji?.Koouuma wewe
  12. Nominee

    Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

    Pole sana mkuu.Hili tatizo lipo kwa watu wengi sana,sio kwako tu.Nakushauri jifunze tu kupuuzia hayo mawazo.Hiyo hali itaisha
  13. Nominee

    Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

    Zimebaki siku 3.Piga kura haraka.
  14. Nominee

    Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

    Ipo hapo juu mwanzo kabisa wa huu uzi.
Back
Top Bottom