Recent content by MOKILI MOBIMBA

  1. MOKILI MOBIMBA

    FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    MAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu. Kwa mujibu wa habari za... kuaminika zilizopatikana jana maofisa hao wako nchini na tayari wamekutana na baadhi ya viongozi wa...
  2. MOKILI MOBIMBA

    Majangili Matatu Yauwawa Kinyama Dodoma

    Tokea wamekuwepo hao wanyama wamekusaidia nini wewe na familia yako...!!?? Wanawaacha wanoiba meno ya tembo makontena kwa makontena kila siku tunasikia .
  3. MOKILI MOBIMBA

    Mwai Kibaki awadharau watanzania!

    Katika kile ambacho nahisi ni hotuba ya kuishukuru serikali ya Tanzania kwa Barabara moja ya kihistoia kufutwa jina lake la awali na kupewa jina la kiongozi huyo wa Kenya ambaye nahisi bado Kiswahili kwake ni tatizo japo nchi yake imeonekana kama moja ya nchi inayoongea Kiswahili kwa ufasaha...
  4. MOKILI MOBIMBA

    PAYE:Hivi hawa wenzetu hata hii kodi hawalipi?..

    Umeambiwa wajeshi' halafu unauliza tena wepi.
  5. MOKILI MOBIMBA

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    Mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi Amen.
  6. MOKILI MOBIMBA

    Biashara ya kwenda China

    Nimeipenda hii.
  7. MOKILI MOBIMBA

    gharama ya kuagiza toyota verossa

    mkuu weka www. Ndiyo uteleweka (niushauri'tu).
  8. MOKILI MOBIMBA

    Ushuru wa bmw x5

    Sijashindwa mkuu isipokuwa gari lenyewe halijafika bado lipo chumvini.
  9. MOKILI MOBIMBA

    Ushuru wa bmw x5

    Nitakutafuta kiongozi unisaidie.
  10. MOKILI MOBIMBA

    Ushuru wa bmw x5

    Hata mimi inanishangaza ushuru ni mkubwa mmno sijui wanataka waotu ndio watembelee magari mazuri au
  11. MOKILI MOBIMBA

    Ushuru wa bmw x5

    Wadau nimeagiza gari BMW X5 ya mwaka 2001Nimenunua USd 9500. usafiri nimelipa USd2000 itawasili muda si mrefu.Kwa uzoefu wenu wadau nijiandae Tsh ngapi gari niwe nalo street. kwamaana ya kodi zote.Nawasilisha.
Back
Top Bottom