waungwana ukwli na ushabiki ni vitu viwili tofauti, hivi huyu muungwana ni kweli haone yaliyofanyika au ndio siasa, mana mama najitahidi sana na watu kule wanridhika na utendaji wake, sasa kama lipo la ziada mtuambi tu, ila hili la kuchapa kazi kwa kweli mama wa watu anajitahidi, mimi nadhani...