Recent content by mohamedn

 1. M

  Show your hand writing(mwandiko)

  Nimejaribu
 2. M

  Kukariri darasa

  Ahsante nashukuru kwa ushauri
 3. M

  Kukariri darasa

  Nashukuru lakini kwa walimu wa shule inaonekana upande wao ni vigumu mpaka nifuatilie mwenyewe
 4. M

  Kukariri darasa

  Wakuu Habari, Naomba msaada wa kujua ni njia gani zinaweza kutumika kukariri darasa kwa mtoto aliekuwa kidato cha kwanza na ambae nahitaji arudie tena kidato hicho hicho kutokana na ufaulu wake kuwa hafifu.
 5. M

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  http://thepeoplesperson.com/2020/01/14/ed-woodward-fiddles-while-manchester-united-burns-bruno-fernandes-deal-unravels-211327/ Sent using Jamii Forums mobile app
 6. M

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  https://www.football365.com/news/five-things-jose-mourinho-was-right-about-at-man-utd
 7. M

  Fastjet mkiniona hata nakaribia ofisi zenu mnimwagie maji moto

  https://www.thecitizen.co.tz/News/Tanzania--Fastjet-in-trouble-over-flights/1840340-4894858-lh28iwz/index.html
 8. M

  Kampuni za simu (nje) zahaha kwa ujio wa whatsapp call

  Whatsapp, the world's most popular smartphone instant messaging platform, has started rolling out voice services as part of its application (Android users only for now), striking fear into the hearts of mobile telecommunications industry executives everywhere. The company, now owned by...
 9. M

  Safari za Fastjet

  Wala si uongo na ukiwa lalamikia ofisi zao wanakwambia urudi huko huko kwa agents. Ni watu wa ajabu sana.
 10. M

  Safari za Fastjet

  Hii ilikua ni direct flight haikupitia nzega.
 11. M

  Safari za Fastjet

  Hawa ma agent wa fastjet ni wezi sana nilikata tkt kwa agent kahama ya one way kutoka mwanza - dar ya siku hiyohiyo ikiwa ni mama na mtoto miaka 3 waka charge shs 490,000.-
 12. M

  mapokezi

  Kuna jamaa mmoja alikua na makengeza na alikua na matatizo kua kwa mbali aliweza kuona vizuri lakini akiwa karibu ni matatizo.Basi ikatokea siku moja alikwenda airport kumpokea babaake. baada ya kufika Airport na kwa vile alikua kachelewa akamuona babake yuko nje amesimama na begi lake. basi...
 13. M

  Write down your favourite and inspiring quote(s)

  Be like a diamond precious and very rare and not like a stone found everywhere.
 14. M

  Ajali daraja la Wami: Basi la Simba mtoto na lori yagongana uso kwa uso

  Basi la Simba Mtoto liliopata akali wame.
 15. M

  Barabara Dar kwenda Chalinze kuwa ya kulipia

  Mbona picha yenyewe inaonyesha kama sio kweli maana sisi hatutumii mfumo wa uendeshaji kukaa kulia.
Top Bottom