Recent content by mnyawusi

  1. mnyawusi

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wekeni takwimu za wapiga kura kwenye website yenu

    Wadau wa JF, nawasalimuni nyote. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020. Kwa bahati mbaya sehemu yenye kuonesha takwimu za wapiga kura, takwimu hizo hazipo badala yake...
  2. mnyawusi

    TANZIA Waziri wa Baraza la kwanza la Mawaziri, Balozi Job Lusinde afariki dunia

    Hapana huyu si baba wa Kibajaji.Watoto wake ni Mumoti,Mahewa,Moteswa na Malecela.Labda kwa Kibajaji wawe na undugu tu.
  3. mnyawusi

    Siri za Spika Ndugai za sababu ya kuwa mbabe bungeni zavuja, soma hii...

    Unanikumbusha wakati ule wa bunge kujadili sakata la Escrow na yeye akiwa Naibu Spika.Aliongoza kikao mjadala ukanoga sana na yeye akachombeza kwamba bunge lazima lijadili jambo hilo na akasema"hakuna ushirika kwenye maovu"akimaanisha bunge haliwezi kufumbia macho wizi wa baadhi ya watendaji wa...
  4. mnyawusi

    Polisi wazuia Mkutano Mkuu wa Lipumba uliokuwa unafanyika leo

    Yaani kuna mambo yanatokea Tanzania tu huwezi kuyakuta kwenye nchi nyingine.Lipumba huyo huyo anapewa pesa za ruzuku isivyostahili mpaka anawasafirisha hao wanaoitwa wajumbe wa mkutano mkuu kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo kwao Uyui,halafu mnasubiri waje mpaka kwenye ukumbi ndo mnajifanya...
  5. mnyawusi

    Malkia wa Meno ya Tembo na Wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa miaka 17 jela kila mmoja

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye...
  6. mnyawusi

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Usione watu wazima wanalia makanisani ukaamini wanalia kwa sababu wamebadili majina na hawana vyeti vya elimu tu,wanalia kwa mengi yakiwemo mabaya wanayopanga na kutekeleza dhidi ya wenzao.Lakini siku zote ubaya hauwezi kuushinda wema,watajulikana tu
  7. mnyawusi

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Usione watu wazima wanalia makanisani ukaamini wanalia kwa sababu wamebadili majina na hawana vyeti vya elimu tu,wanalia kwa mengi yakiwemo mabaya wanayopanga na kutekeleza dhidi ya wenzao.Lakini siku zote ubaya hauwezi kuushinda wema,watajulikana tu
  8. mnyawusi

    Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Ukitaka kupata uhalisia wa umasikini uliokithiri basi tembelea majimbo ya Dodoma likiwemo la huyu kondakta wa zamani wa mabasi yaliyoitwa Urafiki(sina hakika kama bado yapo)Cha ajabu badala ya wabunge hawa akiwemo yeye na wenzake kina Ndugai,Lusinde,Nkamia na wengine kutumia muda wao kuelimisha...
  9. mnyawusi

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Mimi pia mwaka jana nilikwenda kumwona baba wa rafiki yangu alilazwa pale kabla hajafariki.Ni kweli huduma kwa wagonjwa ni mbovu sana,wodini pale nilishuhudia wagonjwa wakisaidiana wao kwa wao.Wale wenye nafuu kidogo walikuwa wanawasaidia waliokuwa hawajiwezi.Mbaya zaidi mgonjwa anapofariki...
  10. mnyawusi

    Nasubiri kuona hatua kali za kiserikali, kichama, kisheria na kijamii zikichukuliwa dhidi ya Cyprian Musiba

    Hiyo idara ya habari maelezo iliyoagizwa kumuhoji Musiba na bodi yake haijui kazi yake?mbona magazeti mengine kama Tanzania Daima wanachukua hatua siku hiyohiyo bila hata kuagizwa na huyo waziri?Tanzania tunaishi kinafiki sana acha tu tuendelee hivyohivyo mpaka tukifa wote labda kizazi kijacho...
  11. mnyawusi

    Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakesha ofisini kwa Diallo kushinikiza walipwe mishahara ya miezi 20

    nakumbuka sana namna alivyoteseka,wazazi wake walikuwa wanakwenda sahara kudai mishahara ili isaidie matibabu lkn wakawa wanatoka mikono mitupu,siku za mwisho zilikuwa ngumu sana maana hata chakula kupata ilikuwa taabu,nina jamaa alienda siku ya msiba anasema ilikuwa inasikitisha sana
  12. mnyawusi

    Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakesha ofisini kwa Diallo kushinikiza walipwe mishahara ya miezi 20

    Pole yao,ninaifahamu vyema kampuni hii.Masuala ya kutolipa wafanyakazi kwao ni kawaida,ndugu yangu alikuwa mfanyakazi pale(ameshatangulia mbele ya haki)Nakumbuka siku tatu kabla ya kifo chake watoto walirudishwa shule kwa sababu ya ada,akaamua aende nao ofisini kuwaeleza ili wamlipe mishahara...
  13. mnyawusi

    Nkrumah, UDSM: Mjadala wa kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere; Dr. Bashiru na Mzee Lowassa waumana

    Huyu mtafsiri waliyemweka ITV amesababisha nishindwe kabisa kufuatilia huu mjadala,ITV angalieni sana jambo hili
  14. mnyawusi

    Rais Magufuli amtumbua bosi wa mabasi yaendayo kasi (Dart), abatilisha uamuzi baada ya dakika 10

    Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Dart, Ronald Lwakatare , Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amesema. #MwananchiUpdates
Back
Top Bottom