Recent content by Mndengestani

 1. Mndengestani

  Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

  Wapuuzi hawa ,Miaka 6 hampeleki ushahidi Leo hii wanapiga kelele Mafirauni Wakubwa hawa
 2. Mndengestani

  Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

  Kama Emmanuel Mchimbi alikua na ushahidi alishindwa Vipi kuwakuta na hatia Miaka 6 yote
 3. Mndengestani

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Hii sio kimasihara mkuu.
 4. Mndengestani

  CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au tuambie Chanjo inaongeza Nguvu za kiume alafu uone tutakavyo gombea kuchanjwa
 5. Mndengestani

  Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

  Mkuu Muhammad(s.a.w) sahihi alienda madina mwaka 623. Ila kabla ya kuhama Muhammad alishaacha kusali mara 2 na kupewa sala 5 .Hii ni baada ya kisa cha ISRAA na MIRAJI ambacho kilitokea October 621 hapo ndipo alipopewa swala 5. (Muhammad hakusali sala 3). Nahicho kisa cha Israa na Miraji...
 6. Mndengestani

  Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

  Mkuu ndii imeisha hii au Maana nataka nianze kukosoa
 7. Mndengestani

  Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

  Hata Baba yake alikua mbunge Wa Mkuranga
 8. Mndengestani

  TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

  Mkuu ccm kazi yao kuchezea akili zetu tu Hoja zao utafikili nchi ilitawaliwa na chama kingine vile. Ngoja mama Stoke then utaona Rais ajae anamponda mama utafikili yeye alikua chama kingine
 9. Mndengestani

  Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

  Naunga mkono hoja, maana kama Mungu alisema amewatuma wajumbe ktk kila jamii basi nasisi tuwatafute mitume yetu ya kiafrica
 10. Mndengestani

  Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

  Hii ndio maana ya kutupa akili ya kuchanganua mambo. Wanyama ndio Wapo hivyo
Top Bottom