Recent content by Mmakonde Waleo

  1. Mmakonde Waleo

    Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Ukipata muda Ziatazame na hizi Hush Green Inferno Quet place Knock Jeepers Clipers
  2. Mmakonde Waleo

    Nimekamatwa kwa kukutwa nachezesha Playstation.

    Kichumba ndo wapi? Au tuseme hapo unaandika thread ukiwa Selo?
  3. Mmakonde Waleo

    Nahisi mke wangu anachepuka

    Tunasubiri soon😂
  4. Mmakonde Waleo

    Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

    Habari wakuu! Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za...
  5. Mmakonde Waleo

    Selous Fm 95.7: Kituo Kipya Cha Radio Songea Na Mapinduzi ya Tasnia ya Habari Mikoani

    Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio. kwanza nawapongeza waanzilishi kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika wengi tulizoea kukuta radio za mikoani zikiwa na vifaa duni...
  6. Mmakonde Waleo

    Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

    Wabinafsi sana nimekaa Bukoba miaka miwili kama Ni kabila jingine na umefungua duka wachache Tena wageni ndo watanunua kwako Ila Wanawake wa kihaya wanna upendo sana wanajua kupenda hasa Ila wanaume loh wanakaroho flani kaukatili hata wao kwa wao NB: SIO WOTE WENGINE WAKO POA SANA Wagumaa
  7. Mmakonde Waleo

    Dunia imebadilika, acheni kupost post mapicha yenu huko mitandaoni

    Unapigaje pin Facebook tupe kaufundi mkuu
  8. Mmakonde Waleo

    Natafuta mtu wakunipa hifadhi ya Siku 3 Mtwara

    Gharama ni za kawaida kulingana na sehemu zipo Hadi guest za buku Sita Ila huko kunguni ni kawaida Standard ni elf 30 Hadi 50 kwa Lodge Kama una nguvu karibu Naf Beach Hotel hapo kulala si chini ya laki moja
  9. Mmakonde Waleo

    Msaada kwa wajuzi wa Laptop

    Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond. Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
  10. Mmakonde Waleo

    Wataalam wa Mac Os X naomba msaada, nikiiwasha inakuja alama ya kuuliza

    Mzimu wa Kolelo, Shukrani mkuu kama hutojali Unaweza kunielekeza kidogo namna ya kucreate hiyo mac bootable Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mmakonde Waleo

    Wataalam wa Mac Os X naomba msaada, nikiiwasha inakuja alama ya kuuliza

    Habari wakuu? Msaada wenu nimepewa Mac ambayo haijatumika muda mrefu kidg ukiwasha kinakuja kialama cha question mark. Sasa katika kuchokonoa na kiufahamu changu kidogo nimefika eneo la kuinstall mac ox yosemite sasa inadai Apple ID. Sasa msaada je naweza log in bila Apple ID? Na nimejaribu...
Back
Top Bottom