Recent content by Mlyafinono

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maadui wa ACT-Tanzania, Shame on you! Mmekwama! Tafuteni kazi nyingine

    Hii taarifa ni yakijinga na wanaoifurahia ni watu mbumbumbu.Hivi unawezaje kuambiwa umetengeneza kadi za shilingi 4,050,000 na wewe ukakubaliana na taarifa hiyo? Mwenye akili angehoji, kadi ngapi na kila kadi imetengenezwa kwa bei gani.Nchi hii ni ya watu wajinga wasio na hekima.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM ina vijana wasomi kuliko chama chochote hapa nchini

    Wamesaaidia nini,Kama wasomi wapo mbona boom la wanafunzi wa elimu ya juu limekwa? Ama usomi wao ni kuiba pesa za maendeleo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    Kaazi kwelikweli.Huyo Mtenga nasikia ndo katibu wa CCM mkoa wa Iringa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aikimbia Kalenga baada ya kushindwa kuwashawishi wananchi

    Midume yenye ndevu ilipiga magoti mbele ya wanawake na watoto ikiomba wanakalenga wamchague mgombea wao Godfrey Mgimwa.Mwgulu nchemba akaenda na misukule yake kuwatisha wanakalenga kuwa CDM ni chama cha Tindikali, lakini wanakalenga wamewapuuza.Wanasema wao wananhitaji maendeleo siyo habari ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

    Hizi ni porojo za CCM kwani wamezidiwa sana kwenye kampeni.Anayeratibu mpango wa kuvuruga uchaguzi Kalenga ni Mwigulu Nchemba.Na hii ni kwao kuwa wakishindwa itakuwa aibu kubwa.Jamaa wanashindwa kunadi sera zao wanachofanya ni kuporomosha matusi tu.Jambo hili linawafanya wanakalenga washindwe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia msafara wa mgombea ubunge wa CHADEMA

    Hofu ya CCM kushindwa uchaguzi jimbo la kalenga imeanza kutanda baada ya chama hicho kulitumia Jeshi la polisi kumkwamisha mgombe wa chadema Grace Tendega asichukue form ya kugombea ubunge jumbo la kalenga.Hata hivyo mbinu hizo ziligonga mwamba baada ya walinzi wa chadema kufanikiwa kumtorosha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Udiwani kata ya nduli wamfilisi Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa.

    Rafu iliyotumiwa na Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kuhakikisha wananyakua kiti cha udiwani kata ya Nduli imemfilisi mwenyekiti wa ccm mkoa huo Bi.Jesca Msambatavangu na kumlazimu kufunga duka la M-PESA. Inadaiwa katika kampeni hizo CCM wametumia zaidi ya shilingi milioni 200 kuhonga...
  8. M

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala

    Mweneyekiti wa serikali ya Mtaa wa yombo Bwana Athuman Maembe amesema kundi la kiharamia la watoto wa Mbwamwitu linaraditibiwa na Mtoto wa Mzee Lukosi. Kundi hili linafanya uporaji wa mali za wananchi katika eneo la kiwalani. Jana majira ya jioni kundi hilo lilivamia mitaa mbalimbali na kupora...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Kamati kuu ya CDM ilitoa siku 14 kwa zito kujitetea kwanini asivuliwe wanachama kwa kusaliti chama.Sasa najiuliza huu ndo utetezi wake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Mbeya.

    Hata viwanja vya makazi huwa hatuanzi ujenzi kabla ya kukamilisha malipo.Sasa hao mzumbe wanasheria tofauti na sheria inayotumika kwenye viwanja vya makazi?.Huyo meya anamtindio wa ubongo, na wewe uliye leta huu uzi uwezo wako wa kufikiri hauna tofauti na wa huyo mjinga mwenzako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Slaa: "Jeshi la Polisi limeshajitoa kulinda viongozi wa CHADEMA..."

    Mgamba hamtaielewa philosophy ya dk.Slaa.Angesema wanalindwa, polisi wasingehangaika kama wanavyofanya sasa.Kwahiyo ukitaka kumuelewa DR.lazima ujifunze Philosophy kwani hata yesu alikuwa haeleweki kwa wajinga kama magamba, lakini welevu walikuwa wanamuelewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania MATAMKO: Chadema vyuo vikuu/chaso juu ya kuvuliwa uongozi kwa Zitto na Kitila

    Chadema mwendo mdundo hakuna kulala hadi kieleweke
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata CHADEMA watayatafuta kwingine

    Aende ccm akaanzishe movement za kumuondoa jk kwenye uenyekiti wa chama halafu akae yeye.Chadema mfukuzeni huyo hayawani haraka sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mtamfukuza Zitto, anaweza akaondoka na wafuasi wengi mpaka mkashangaa!

    Zitto afukuzwe tu,hana athari zozote kwa chama,itakuwa kwenye jimbo lake tu, kwani kigoma hakuna wasomi kama zito?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hali tete chuo cha ualimu songea, wizara ya elimu yambeba mkuu wa chuo.

    Jina lake linasadifu tabia zake.Kama mtu anaitwa Ubaya unategemea nin?
Back
Top Bottom