Recent content by mlavie

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mamlaka zinazohusika zibadilishe majina haya

    Kisauke - Hili ni jina la mtaa huko Madale kwa Kawawa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

    Dawa ya Mwongo ndo hii. Umejichimbia uswahilini hutembei unajifanya unawajua wamasai. Shame on you
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi zina watoto wasio wa ndoa hiyo, je ni uaminifu au kuna tatizo lingine?

    Umeolewa ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco kwenye kalenda yao wametumia picha ya mji unaowaka taa ulaya kufikisha ujumbe Wa "Tunaangaza maisha yako"

    Dah hivi kumbe watu wa mikoani hata dar hawapajui maskini... Kijana kakomalia kuwa hapo ni ulaya :):) Safi sana karibuni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa, 120,000

    Akikosekana mtu kabisa nishtue mimi nihamie huko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kushangaza baada ya kujiajiri

    Naitamani hiyo biashara ambayo inafanyika pasipo kukumbuka tar ya Siku wala jina la Siku yenyewe. Pia unaweza kusafiri mda wowote na pesa ikaingia tu .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Weka picha tafadhali
  8. M

    JamiiForums Tanzania 360 ya Clouds hii ni ukiukaji maadili ya uandishi

    CLOUDS ni wazee wa kutafuta story yoyote ile iimradi tu wapate wasikilizaji ambao wengi wao wanapenda habari za umbe umbea na vituko. Ni nadra sana kunikuta nasikiliza hizo habari hasa kipindi cha asubuhi ambapo napenda nipate habari za maana za kitaifa na kimataifa sasa clouds wao mda mwingi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa dar sasa hapa cha ajabu ni kitu gan? Au ni ushamba wenu tu

    Mtu mwenyewe unajiita Baby boy halafu watu wanategemea utaleta mada ya maana zaidi ya story zenu za instargram
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya ujenzi wa fly over ya Ubungo

    Mie sijaona kitu chochote pale
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hatari sana.. Ukisikia wakenya macho kodo ndio hapa sasa hivi wanavyokodoa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapa ndipo Nairobi itakapojificha isijibu chochote BRT ikipita hapa
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Back
Top Bottom