Recent content by Victor Mlaki

  1. Victor Mlaki

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Hakika huyu Dada yetu amehama reli kabisa...... Unikumbukee..eeh....Yeesu.
  2. Victor Mlaki

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Christina Shusho nilikuwa namuelewa sana enzi hizo Campus night sikosi kufuatilia tamasha, wayback 2008-2010....Leo siamini ninachokiona.
  3. Victor Mlaki

    Kwanini utajiri wa Elon Musk anashuka sana?

    For every action there is equal and opposite reaction....the higher you go the higher you will come back.
  4. Victor Mlaki

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Shukrani
  5. Victor Mlaki

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Hii nchi ukifukua kaburi moja inatoka misukule mia mbili...! Kilichobaki "TUSIFUKUE MAKABURI" Nimetoka Chato juzi daaah!...
  6. Victor Mlaki

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Infact, kuna discrepancies kubwa sana kiumri, busara, uzoefu, hulka, hamasa, matamanio n.k kati ya Nchimbi na Makonda
  7. Victor Mlaki

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Ah!..ah...! I am not, relax
  8. Victor Mlaki

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    I am asking for proof not belief.. just calm down Brethren
  9. Victor Mlaki

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Can you prove your statement without any doubt?
  10. Victor Mlaki

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Hawa wanataka kubadili upepo na kudivert attention tu. Tukitaka kujua turudi nyuma tuone ni vitu gani vilikuwa vinajadiliwa sana tutaona tu kiurahisi. Kikokotoo, tume huru.
  11. Victor Mlaki

    Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Nilitaka kumfahamisha aliyesema mchele na mafuta kuwa siyo hayo tu ova.
  12. Victor Mlaki

    Hivi ni nani alipitisha Kikokotoo, mbona Wabunge wa CCM wanakikataa, au ni Utapeli wa kisiasa kuelekea Uchaguzi?

    Hawa jamaa wanatengeneza tatizo halafu wanalisolve kimkakati
  13. Victor Mlaki

    Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Nipo mpakani Mkuu siyo mchele na mafuta tu vinapita
  14. Victor Mlaki

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Onesha- onyesha Nimekwenda sikumkuta- Nimekwenda nikamkuta hayupo Chai imeingia nzi- Nzi ameingia kwenye chai Saa- Masaa ...
Back
Top Bottom