Recent content by mkwegi

  1. M

    Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Du! Kweli watanzania, we're very cheap and we market cheap idea, stories and thoughts. Hivi follow up na energy kubwa juu ya majina ya makonda zinahusianaje/ vinasaidiaje na taifa la Tanzania kupunguza tatizo la madawa ya kulevya? Sent from my HTC One M9 using JamiiForums mobile app
  2. M

    Rais Kikwete yuko mapumzikoni Serengeti

    Ukiona hivyo basi tambua kuna wageni anakutana nao huko kwa ajili ya another dubious deal, lol.
  3. M

    Waliochagua kubaki kupiga box majuu waliona mbali

    Kwa kweli umesema kila kitu! mara nyingi hata hili ulilozungumza hapa la kujisikia guilty pale watu wanapokuuliza iwapo rahisi wa nchi yako amesoma kidogo economics au " what is his profession" watz waliowengi ambao ndo hawajatoka nje hawatakaa walione kamwe! mtu anaweza kuku embarass kwa vitu...
  4. M

    Waliochagua kubaki kupiga box majuu waliona mbali

    Kijakazi una mtazamo mzuri kwa maana kuwa una sisistiza kwamba ungekuwa wewe ungejua kuwa hilo wazo haliwezekani hapa tz. lakini napenda kutofautiana na wewe kwa mambo mengi lkn hapa nitazungumza kifupi tu. kiukweli kabisa, ni wajibu wetu kuleta new ideas ambazo zinaongeza tija na zenye less...
  5. M

    Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

    This was a keen observation. Chama kimekuwa na lazima kipate changamoto kama hizi. Hivyo kila mtu ndani ya CDM achukue tahadhari.
  6. M

    Mshahara wa Mbunge wa mwezi ni Mshahara wa Mwalimu wa Miaka Mitatu

    Ndiyo maana kuna matabaka kadhaa kwa sasa...wenzetu wanaonufaika wanatambua kuwa kiini cha maendeleo ya nchi yoyote ni kuwa na jamii iliyoelimika na yenye kuweza kuchanganua michakato na majukumu ya kimaendeleo na usimamizi bora. Wanatambua kuwa ili kupata kada hiyo ni lazima kuwa na mfumo mzuri...
  7. M

    Kwako mbunge wangu Regia mtema; TAKURURU

    Iwapo maswali ya msingi yatajibiwa vizuri hapo juu (toka kwa politiki), of which obviously gharama itakuwa ni kubwa na hakuna kesi za maana walizo register, itatosha ku justify their elimination unless iwe proven inabaki kwa manufaa ya nani.
  8. M

    Ni muda gani mtoto aanze kula chakula kingine zaidi ya maziwa ya mama

    Mbongopopo amekupa clues za maana. Kitu kingine ungefanya ni kuzungumza na wakunga wazoefu kama unaweza kuwafikia na hasa kama mnaishi Tz. Mara nyingi watoto kama vilivyo viumbe vingine hu react sana na mabadiliko na wanahitaji a step -by-step acclimatization and finally adaptation. Ktk web...
  9. M

    RUBADA signs pact for 165MW power project

    Suala la investors kuja kichwa chini....kisha kuibuka kichwa juu limeshakuwa la kawaida hapa Tanzania. Wengi wa hawa jamaa huwa wana hidden plan (apart from hiyo wanayoingilia na kujifanya kuwekeza) mfano tumewaona wapakistan -bonde la Rufiji na Kilwa waki deal na ukusanyaji wa meno ya tembo...
  10. M

    Painfull truth men should agree

    This is absolutely true na wala hakuna ukweli mwingine kokote utashinda semi hizi. Lakini je ni kwa sababu sisi wanaume tunapenda vitu vizuri vyote, tuwe juu ya akina dada bila kuteswa kama tunavyowatesa? I guess tuko biased with the following confession: Mara ngapi tunawapanga akina dada...
  11. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Du balaa hiyo! RIP
  12. M

    Kweli dunia kizungumkuti!

    kaazi kweli kweli
  13. M

    Picha iliyo ni huzunisha leo

    Hivi huko Mexico hakuna cha mwezi mtukufu wala nini??!! Mungu apitishe mbali hilo balaa:shocked:
Back
Top Bottom