Recent content by mkwawanyika

  1. M

    Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    Kiualisia hii ndiyo fikra pevu, Dogo Jembe
  2. M

    CHADEMA kuomba kibali cha kuuaga mwili wa Mawazo mahakamani

    Ni hali ya utashi, hekima na Busara, si busara kuzuia utaratibu wa chama kumuaga mwenzao, kufanfa hivyo nj kunyima haki, na kupandikiza chuki ktk kundi fhlanj,
  3. M

    UKAWA wazua hofu bungeni, polisi wajipanga kuwakabili

    Hii inaakisi kuwa kilichofanyika katika uchaguzi wa Oktaba si halali, na mchakato wowote unaeendelea juu ya kuhalalisha mambo nguvu inatumika kushinda sheria, kama kweli sheria imewekwa ifuatwe hakuna haja ya kutumia nguvu. Imefika wakati watawala kutambua kwamba wananchi wanauelewa mkubwa juu...
Back
Top Bottom