Recent content by Mkuki

  1. M

    Safari ya Usiku na mwanadada wa JF tumeingia Kilimanjaro asubuhi hii.Nashukuru Dada kwa hili

    Ebu tufafanulie mie najua kuna gari na usafiri unaposema Magari sijaelewa na usafiri nao unaita gari????
  2. M

    Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Acha kabisa Kabla ya jengo thamani tu ya ardhi bado majengo na sasa kuna investment kubwa Landa hiyo lockcity fananisha na mall ya mkuki house
  3. M

    Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Acheni pumba hizo Mali zikikamatwa unafaidi nn ukumbuke hizo Ni kodi Na ww si mzalendo wa nchi hii ndio maana unatoa povu hapa na mtashindwa na ndege zitakuja sijui mumerogwa na nani
  4. M

    Enough is enough, Magufuli amelisababishia taifa hili hasara ya kutosha kwa maamuzi ya kibabe!

    Mafanikio yanakaribia ukiona kelele zinazidi
  5. M

    Ishu ya bombardier haiwezi kubadilisha upepo

    Nakubaliana na ninasikia uchungu kama watz tunajipiga vita wenyewe kiongozi kura yangu sikuharibu kanyaga twende usikubari kugeuka jiwe songa mbele ushindi unakaribia ndio maana kelele zinazidi
  6. M

    Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Hata hiyo gari yake haifanyii service au analinganisha ndege na gari lake kingine yy ndie msemaji wa shirika?kuweni na uzalendo.
  7. M

    Moses Machali: Umakini wa Rais Magufuli katika kuwateua wapinzani

    Ww nimsemaji wake au unataka nafasi (umesahau kwamba upo kundini lakini mkia umekatika)
  8. M

    Vidume tuliopitia kwa ngariba bila ganzi tukutane hapa kukumbushana yale maumivu!

    Acheni longo usicheze Na saro mnaochangia ni wa vitandani sio wa lung'olo (saa kumi Na moja Na nusu alfajili). Sitaki kukumbuka
  9. M

    Ndoto: Mkuu wa Mkoa apewa Wizara nyeti

    Kamuulize mtoto shekhe pale magomeni ndie anatafsiri hizo ndoto.
  10. M

    Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

    Mtumishi wa umma unaweza kupangiwa nafasi yoyote sio lazima ubaki kwenye nafasi uliyokuwa nayo sioni sehemu iliyoandikwa kwamba ukishateuliwa hairuhusiwi kutenguliwa haipo hata kama hufai tungangane na ww tu haiwezekani.
  11. M

    Kwa teuzi hizi hatukupi ushirikiano ng'o na usahau kuombewa, tushakuchoka!

    Wala hatuhitaji maombi yako ww Ni kibaraka sisi tuliowengi tunapiga magoti na kumuombea kila siku asubuhi Na kabla ya kulala mungu ibariki tanzania bariki viongozi wetu
  12. M

    Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

    Wanaoponda ni wapiga dil lakini watanzania waliowengi nikiwemo mm nasema hapohapo driver kanyaga mafuta asieipenda nchi yetu aruke kwenye likiwa kwenye mwendo kasi
  13. M

    Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

    Si wakati wakulaumiana huu ni wakati wa kuungana kama taifa mungu ibariki tanzania mungu mbariki rais wetu
Back
Top Bottom