Recent content by mkale

  1. mkale

    Ushauri kwa Kampuni itakayoshinda zabuni ya kutoa huduma ya Mwendokasi

    Usimamizi na uwajibikaji ukiwa mbovu katika mradi wowote ule ;uwe ni serikali au shirika binafsi.. mambo huenda mrama.
  2. mkale

    Tatizo la Ethiopia ni nini hadi raia wake kuikimbia nchi yao kwa mamilioni?

    mahala popote pale duniani pakishakuwa na mizozo ya mara kwa mara pamoja na njaa sababu ya ukame.. hakuna mwanadamu atapafurahia kukaa hapo.
  3. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    perfect Arsenal midfield with 3 players.. gilberto rice cazorla
  4. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
  5. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    GK wa porto ni wakumfata kwa akili sana.. yeye ,pepe na otávio ndio wana fanya timu ya porto kusogea mbele vizuri.
  6. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    ni wachezaji wachache mno ambao pamoja na kukaa sna benchi ila ukiwapa minutes wana perform.. kwa ramsdale sioni haja sana ya kuachana nae.. ni mtu tu akae nae.. ampe maneno mawili matatu ya kumjengea confidence.
  7. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    benchi linaozesha sana wachezaji.. ramsdale amekua na mchezo mzuri ila boko alilotoa limetia doa kidg.. bado naamini ni GK mzuri kubaki nae.
  8. mkale

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    aisee! bomba ya kamba.
  9. mkale

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    young africans ina wachezaji ambao licha ya ubora mkubwa waliokuwa nao lkn wanacheza pia kuipambania badge.
  10. mkale

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    sehemu za kuchezesha viungo wabunifu.. unawaweka wavunja kuni wote. sehemu za wide.. kuweka wingers ;unaweka wachezaji viungo ambao hawana kasi na hawawezi kukimbizana na full backs. goal kwa system hii ni ngumu sana kupatikana..
Back
Top Bottom