You have been missed sana this side as well. M happy I got a glimpse of the old Lizzy (The chakaramu alta ego) 😂
Zile kesi unapataga halafu huelewi ziliyokeaje ndio the doing ya Lizzie sasa
Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii.
Brand: LG LED TV
Size: 43inch
Price: Tzs 350,000
Inafanya kazi vizuri sana with super clear pictures na saiti ya kutosha.
Location: Dar ES salaam
Contact: 0784977269
Karibuni
Mwaka jana 2023 niliamua pia kusoma vitabu vya riwaya za kiswahili ambapo niliegemea zaidi kwenye zile za ujajusi. Katika hizi niliamua kusoma riwaya za waandishi watatu
1. Calvin Mponda
2. Richard Mwambe
3. Patrick CK
Kwa waandishi Hawa niliweza kusoma vitabu 9
1. Julai 7 - Richard Mwambe
2...
Hayo mahusiano yalikiwa yanajulikana shule nzima kuna siku ikaitishwa kura ya shule nzima watu kutaja nani anatoka na nani. Kwenye hiyo kura na Mimi na pisi yangu tumo with flying colors [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila tuliponankwasababu mwalimu aliyekuwa anaendesha Hilo zoezi alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.