Recent content by Mitomingi

  1. M

    CUF na Operesheni "Zinduka"

    Mkuu Slaa Mwiba ana mission ya kuendeleza mawazo ya wale wazee wa vibandiko hana hoja tuendelee na mjadala na umeweka wazi aje na facts na aweke hapa kama hana apishe tuendelee na mapambano .
  2. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Waarabu they do have primitive life na Uislam wao .Wanafiki wale hujazana kwenye hotels Ulaya wakikimbia kufunga ramadhani huko kwao.In the Arab world they have very shocking life .Research iliyo fanywa na red cross imebaini kwamba waarabu wana zalia ndugu kwa ndugu kwa kuwa sheria zao ni ngumu...
  3. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Date: 7/20/2009 Pentekoste yawawakia wanaopinga waraka Na Elizabeth Suleyman UMOJA wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania (FPCT), umewajia juu viongozi wanaoupinga mwongozo uliotolewa na Kanisa Katoliki unaohusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ukiwafananisha na mafisadi ambao wanahofia maovu...
  4. M

    Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

    Mada hii utawaona waislam na lawama zao kama ambavyo wamesha zuka akina GT mh haya .
  5. M

    Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

    Ni sababu hii pekee umeona US wanasema JK ni safi na uongozi wake kwa Watanzania na kila mara anaenda kuwapa uhakika wa kupata uranium badala ya Iran kuwakata mbele hahaha
  6. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Silent what a comment hahahaha . natoka hapa maana naona unawasha moto .Kanda 2 mbona una think so low like this vipi ?
  7. M

    Mwaka ule ikuwaje Mwakyembe akatamka haya?

    Mkuu rejea wakati wa uchaguzi mkuu na mauaji ya Zanzibar .Kama ulikuwa mdogo ingia Library pata habari uje .Mwakyembe hajaanza kuwa Mbunge jana ni baada ta matamshi haya ndipo akaukwaa Ubunge wa Mashariki .
  8. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Spika anaujua ukweli hata kama anakula na CCM lakini hawezi kuwaeleza wasomi wa Kikristo kwamba Waraka haufai maana huko kwao atakuwa kajimaliza na Ubunge hatauona tena
  9. M

    Mwaka ule ikuwaje Mwakyembe akatamka haya?

    Mwakyembe anapatikana na anaweza kuulizwa juu ya hii kauli yake , alimshauri Mkapa na baadaye ndipo akawa Mbunge wa EA hata mimi nakumbuka .Hivi kusema watu waingie mtaani kupinga matokeo ya Uchaguzi ni uhaini kumbe kwa Tanzania ?Je adhabu ya watu kupinga matokeo yab kura zao kuibiwa ni kuwapiga...
  10. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Chadema wana sera zao kama Chama .Nimesoma katiba ya Chadema hata katika ahadi zake kama wakichukua Nchi hawakusema wanaungana na kuanzishwa mambo ya kidini wakati Tanzania ni ya wote .So naunga mkono ukimya wa Chadema kwenye sera ya CCM , CUF ,a chama cha Mrema . Slaa kuwa mbogo ina maana...
  11. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Ukifika kwa wenyeji kuwa mtulivu usianze makeke kaka .Waraka uko hapa toka day moja
  12. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Waislam hawana ujanja huo na hivyo wasingalileta waraka wa aina hii .Uwezo wa kukaa na kufikiria kwa ajili ya Utaifa na Tanzania bila ya dini kuwemo waislam hawana .Wako wasomi wa kiislam wengi na hodari lakini bado jambo kama hili kwa kuwa halina neno la kidini hawawezi kuja nalo hata siku moja...
  13. M

    Hotuba za Rais kila mwezi

    JK kuweka sahihi namna kuliwaaca wengi wanashanaga na hata Bush akawa anashangaa jamaa.Yaani kila kitu kwake ni kulemba hata kuweka sahihi jamani ? Comoro kasemaje ? Tunataka kujua pesa za vita ni zipi .Tupeni habari zaidi hapa JF.
  14. M

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Nasikia kwamba Mkapa alisha mjua na ndiyo maana hakuna la kuendea kule Butiama .The guy I mean Mkapa despise this guy maana hata uwezo wa kujenga hoja kama rais hana .Jamaa anasema hata kuweka sahihi it took him ages hadi Bush akawa amekaa anangoja amalize kuweka sahihi .
  15. M

    Jamani Kipindi cha Maigizo bado??

    wadanganyika walijua hili lakini wakawa kichwa ngumu wacha waone wenyewe LIVE
Back
Top Bottom