Recent content by Lusaa

  1. L

    Aliyeruhusu ujenzi wa vibanda juu ya Mtaro wa Maji Mbezi Luis anapaswa kuwajibishwa

    Hivyo ndivyo ilivyo kila kona ya jiji except Lugalo tu.
  2. L

    Simba sc vs libolo!

    Jamani ngapi ngapi, naona mnazidisha tu porojo baadala ya kutuelezea game inavyokwenda. Kuna dalili ya kurudisha goli na kupiga mengine angalau matatu?
  3. L

    Wizi wa waziwazi wa Airtel

    Wizi mkubwa hapa ni kwamba senti 10 ita apply baada ya dk ya 2 na hawasemi dk 2 za mwanzo wanatoza shs ngapi. Kiuhalisia watu wengi wanaongea na simu kwa chini ya dk 3 kwahiyo kimahesabu Airtel hawapotezi kitu. Angalia pia kweye sms, shs 1 kwa sms lakini sms ya kwanza unalipa shs 125, vipi wale...
  4. L

    Foleni ya kutisha Mbezi beach

    Mpe hongera aisee machale yalimcheza akapaki mapema, maana mimi ni kama nipo msituni siwezi kugeuza wala siwezi kwenda mbele... Hali ni mbaya!
  5. L

    Foleni ya kutisha Mbezi beach

    Ndiyo hivyo sasa tutafanyaje wakati Wahindi wanataka National Housing za Upanga, Kariakoo na Posta wakae wenyewe tu?
  6. L

    Foleni ya kutisha Mbezi beach

    Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa...
  7. L

    nyumba inapangishwa(4 bed rooms)

    Weka picha basi, halafu wewe ni dalali au ndiyo mwenye nyumba? kodi ya miezi mingapi?
  8. L

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Nakushauri ufungue bar ambapo pia utakuwa unaonyesha mpira ligi mbalimbali, namaanisha biashara yako kubwa iwe ni hiyo ya bar na mpira iwe ni njia tu ya kuwavutia wateja, lakini hakikisha kila anayeingia hapo ananunua kinywaji ikiwezekana kwa kuwauzia coupons mlangoni wakati wa kuingia ambazo...
  9. L

    Kwa wale wataalamu wa accounting!

    Hakikisha entries zote ziko sahihi kwa sababu utasaisishiwa kwa entries na siyo kwa kubalance hiyo TB japokuwa ukibalnce bila kuforce unakuwa na uhakika wa kupata entries zote, 100%. Ukifuata double entries principles lazima TB yako ibalance.
  10. L

    Kwanini wasomi hasa vijana siku hizi wanataka utajili wa haraka sana?

    Acha kukariri kuwa lazima usote sana au mpaka uwe mzee ndiyo uwe tajiri. Maisha yamebadilika na pia vijana wa leo wanaanza kutafuta hela mapema, kwahiyo unaowaona matajiri wakiwa na umri siyo lazima kuwa waliiba kupata hela. Weka mikakati yako ya kutafuta hela mapema acha kuwa na akili za kizamani.
  11. L

    Ajali nje kidogo ya mji Chalinze

    Poleni sana mliopata ajali. Pia nawapa pole abiria waliokuwa wanasafiri leo kwenda Mikoa ya kati ya Kaskazini kwani hilo basi liliziba kabisa njia na kusababisha foleni kubwa. Binafsi nimelazimika kuzunguka kutoka Mlandizi mpaka Msata then Chalinze na kuendelea na Morogoro road, uzuri wa private...
  12. L

    LIVE:Taifa Stars Tanzania VS Chipolopolo zambia

    Umenifanya nicheke kwakweli, kwani hii ilikuwa ni fainali au just friendly? Halafu sidhani kama chama cha mpira cha Zenji kinatambulika CAF nahisi ni sawasawa na TEFA tu.
  13. L

    CCM yawaruka Mussa Mkangaa na wenzake

    Naomba mnisaidie. Utaratibu wa kulipa hizi gharama ukoje na zinalipwa kwa nani? Na je kuna muda maalum (time limit) wa kulipa? Na usipolipa sheria inatoa adhabu gani? Chadema watahakikishaje kuwa hizo hela zimelipwa?
  14. L

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Good, leo natabaki kwenye thread hii mpaka hukumu itakapoisha, kazi yangu itakuwa ni kurefresh tu.
  15. L

    Video:Mwizi wa power window,vitu kwenye magari alivyokamatwa

    Huyu jamaa anabahati sana wamemwacha mzima angekutana na watu wenye hasira kama mimi ambao tumeathirika na wizi huu wa kwenye magari yaani lazima angeenda polisi jicho moja limetobolewa au pua imekatwa. Halafu ambavyo hawana adabu baada ya kukuibia wenyewe wanazama hotelini kustarehe na...
Back
Top Bottom