Recent content by MgonjwaUkimwi

 1. M

  Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

  Ukijuwa anayemtuma mtumwa utashangaa aina ya vyombo tulivyonavyo nchini. Ukijuwa mmiliki wa gazeti linalotumika, mhariri na anayemlipa huyo "mtumwa" utagundua kwamba nchi iko mikononi mwa mafia wanaolindwa vyombo vya dola na katiba. Kila mpenda haki na mwenye nia njema na nchi anatakiwa sasa...
 2. M

  Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

  Lengo kubwa, kwa fikra zangu, kwenye mpango wa kuwapa vitambulisho ni kuwabana wenye maduka makubwa wanaosemekana kukwepa kodi kwa kuwapa machinga bidhaa. Kwenye mpango huu atabanwa machinga mwenye kitambulisho aonyeshe receipt ya manunuzi ya bidhaa zake. Na yule asiye na kitambulisho atakuwa...
 3. M

  Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

  Wakati LHRC inaendelea na mahadhimisho ya siku ya haki za binadamu, ghafla mkutano unaitwa vinaletwa vitambulisho vilivyotengenezwa miaka ya nyuma na vinavyo expire mwakani ambavyo awali ilionekana vingesababisha wenye maduka makubwa kukwepa kodi. Unganisha doti. Event, timing, and intentions.
 4. M

  Mr Slim is pretty lucky for having Mr Mango outside the house

  One thing I can say here. If the country can't get out the man from the green house in 2020 he will never let any other leader take over from him in his life time. The man, in addition to making the public fear him, is restructuring the party, the government, the judiciary and the parliament to...
 5. M

  Kweli CCM Wamevurugwa Wakavurugika, Oneni Hii!

  Ebu tuache haya mambo ya siasa yasiyo tuhusu tucheke kidogo na adithi ya kale inayo mhusisha MTUMWA, WATUMBO KUBWA, MBU, na MUKULUKULU. Mukulukulu na watu wake walimtuma Mtumwa kwa kumlipa sh 5m kila mwezi ili akeshe kumsaka na kumfukuza mbu anayemng'ata Mukukulu na kumfanya akose usingizi...
 6. M

  Ukitega mtego usikae hapo utanaswa: fundisho

  Ile nchi ikaona njia ya kumtega jasusi wake wa zamani ni kumtungia tuhuma mbalimbali za uhaini ili azikatae na kujitetea ili impe jukumu la kuilinda dhidi ya wabaya wa bwana mkubwa. Wakatunga kwamba alitaka kupindua nchi kwa jeshi, jasusi akakaa kimya, wakatunga alikwenda kukodi jeshi nchi ya...
 7. M

  Uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho wabamba Dunia nzima: Bei ya korosho yaongezeka kwa 10% katika masoko ya Dunia wakihofia zuio la Rais Magufuli

  Hizi ni siasa tupu. Misingi ya uchumi inasema hivi: bei ikipanda idadi ya wanunuzi wa bidhaa hiyo inapungua na wanunuzi wanaopungua wananunua bidhaa mbadala (wachumi wanaita substitute good). Wanunuzi wakipungua muuzaji anakosa ela endapo bei impya haifidii upungufu wa wanunuzi. Lakini sio...
 8. M

  Bernard Membe had a Chance but waiting for night dreams to happen made him loose it.

  Sauti ziliazo nyikani ni nyingi mno na kubwa kiasi kwamba pepo hizi za bahari zinaleta vilio huku nchi kavu. Basi tayarisheni mapito.
 9. M

  I just noticed that Julius Nyerere International Airport is not as busy as it used to be

  Likewise Tz economy isn't as great as it used to be, people aren't as free to express their views as they used to be, government critics aren't as safe as they used to be, civil servants aren't as happy with their job as they used yo be, parliament isn't as influential as policy making...
 10. M

  The Tanzania shilling appreciates against top major currencies

  Dr Akili kama kweli wewe ni mwana uchumi basi acha siasa ongea uchumi. Sema kwamba shiling yetu bado inafanya vibaya dhidi ya dollar badala yakutuambia rate ya depreciation inapungua. Kisha tuanze kuchambua kwanini shiling iongezeke thamani dhidi ya Euro na pound pasipo kufanyika adjustment kwa...
 11. M

  Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

  Mkuu natofautiana na wewe! Apson kukataliwa kwenda kutibiwa nje na rais kwako ilitakiwa iwe SIRI? Siri hii inaathiri au kuhatarisha vipi USALAMA WA TAIFA? Mbona wamekataliwa wengi wakiwamo mawaziri wakuu wote wastaafu na wengine wa vyeo mbalimbali na haikuwa siri? Lakini itambulike kwamba...
 12. M

  Prof. Kabudi: Tanzanite One imefanya malipo ya awali, mazungumzo na Barrick yamefikia pazuri

  Hehehehe nimecheka hadi basi! Sasa hao wanaotudai wakisoma bandiko hili si watajuwa tunalipwa na hivyo kufungua mashitaka? Yaani ela zetu na haki yetu tunazipokea kiuharamu kiasi hiki? Sisi watu wazima tunajuwa kwamba Tz na Acacia hawadaiani chochote na kwamba mkuu alishapiga marufuku kujadili...
 13. M

  Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

  Kwa maneno mengine yupo katikati ya nyundo ya mkulu na ukuta wa chuma
Top