Recent content by Mgagagigikoko

  1. M

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Wananeti Hivi hatuwezi kujadli mada mpak tutie mambo ya udini? Hebu tujiulize tokea tumejadili mambo ya udini hapa barazani je udini umepungua bongo? tumepata tija gani
  2. M

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Innallillah, I had a chat with her only on Thursday as late as 10pm! Kazi ya Mungu Haina makosa. Yeye mbele sisi nyuma
  3. M

    Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    sawa dau kachaguliwa kwa uwezo wake. lakini basi jamani lets face it, huyo dau wenu ameshindwa hata kuvaa suti ya maana? wabongo bwana? mambo yao ovyoooooooo!!!
  4. M

    Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    Kumbe dau ni Mwenyekiti wa Bodi ya Barclays? Naomba nielimishwe uteuzi wake umefanywa na JK au Wazungu wenyewe?
  5. M

    January Makamba: A New Generation Leader!

    Wana JF Nilikuwa kimya muda mrefu. Chungu cha ugali wa muhogo kinanipeleka puta
  6. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Mwanakijiji anakesha hapa JF na kaleta habari yenye utata mkubwa kuwa Professor Mtulia ndiyo Board memba wa NSSF,Tusiwalaumu Tanzania Daima wala KlhNews kwa vile wako kwenye MKAKATI Maalum wa kupotosha na wanatusisitizia kuwa 'MKIMKOROFISHA MASAU ATAAMUA KUFUNGA TAASISI YAKE NA KURUDI MAREKANI...
  7. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Sio pasipoti hawakuikubali, bali walitaka uwape kitu chenye kuthibitisha address yako kama bank statement au Driving Licence, kama hawakuibali pasipoti yako kama form of of ID mbona ulipita AIRPORT kwa pasipoti hiyo hiyo? au ulienda kwa Meli? hata kama ni Robot lakini wanajua kuwa Masau...
  8. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Mushi kwani wachagga wana lipi la maana zaidi ya kuwa wabahili na wanasoma CPA ili wakwapue kwenye mashirika?
  9. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    cha Ajabu Mbowe hajatoa tamko la chama kwa familia,wapenzi na wanachama wa Chadema. wala hajaenda kuiona familia ya marehemu, nadhani sasa ni wakati wa Mwanakijiji kuanzisha Mchango wa kuilea familia ya Wangwe. pia tumuombe Majid Mjengwa aandike kitabu cha maisha ya Wangwe na misukosuko...
Back
Top Bottom