Recent content by Mesaka

  1. M

    Muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja nyumbani

    Unajua kuna watu wao kila kitu ni kukashifu tu, ni aina hii ya ndege zinazofaa kwa mazingira ya Tanzania, hebu angalia viwanja vyetu vinagpi ni vya changarawe, na ni aina ya ndege hizi zinafaa kwa viwanja vya aina zote.
  2. M

    Bei ya dawa mseto yapanda

    Bei ya dawa MSETO ambayo kwa muda sasa imekuwa ikitumika sana na watu wengi hasa wa kikao cha chini Kuna tetesi kwamba kwenda ikapanda wakati wowote kutoka Tsh. 600/- mpaka 4000/- kwa bei ya jumla kwa dozi moja. Dawa hii iliyopendekezwa kwa kutibu malaria ilipungua bei baada ya serikali...
  3. M

    Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO alaani mauaji ya Mwangosi

    Ili kuonyesha kwamba Mkuu kakerwa, atoe amri ya RPC Iringa akamatwe na mwema afutwe kazi. hiyo itamsaidia yeye na uongozi wake na pia kuitendea haki damu ya Mwangosi. " Msimwonnee dogo, alikuwa anatekeleza amri tu".
  4. M

    Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

    Yes, ili kuwatendea haki askari wa vyeo vya chini na raia kwa ujumla Kamuhanda anastahili kushtakiwa no.1.
  5. M

    Ujenzi unaoendelea jangwani hauna athari zozote kwa mazingira?

    Ndugu wana jamii, Kila ninapopita jangwani nashindwa kupata majibu ya maswali yanayo zunguka kichwani mwangu. Je huu ujenzi unaoendelea hapa hauna madhara yoyote kwa mazingira? na je wanamazingira (NEMC) wameshafanya Enviromental impact assessment? kama wamefanya wameshauri nini? na je...
  6. M

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    RPC Hawezi kuwa shahidi kwani huyo ndiye anatakiwa kuwa Mshitakiwa No.1, Nadhani Shahidi NO.1 anakiwa kuwa RCO
  7. M

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Kwa hali hii nitaimbaje Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote ...................., Pole waandishi wa habari. Lakini sasa tambueni kwamba muda wa habari nyepesi nyepesi za kuwapamba watawala umepitwa na wakati, fuateni nyayo za Mwana Halisi, tuungane katika kukemea maovu, kuyaandika kwa...
  8. M

    Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

    nadhani sasa ni wakati kwa waandishi wa habari kusimama kidete na kutoa kila kitkeacho bila kificho tuone kama watayafungia vyombo vyote vya habari kama ilivyokuwa kwa mwanahalisi.
  9. M

    Nchimb na Mwema Wanasubiri nini Ofisini?

    Kauli ya nchimbi kwa kusema Mwandishi Daudi Mwangosi ameuwawa kutokana na bomu la machozi ambalo halikulipuliwa kitaalamu, ni kauli angalau inayo kidhi haja. Na hivyo ndivyo inapaswa kwa IGP pia kutamka kwani naamini Nchimbi ametaarifiwa na IGP. Hivyo IGP na RPC Iringa wanapaswa kufukuzwa kazi...
  10. M

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Inasikitisha, inaumiza, laikini ndiyo hali halisi, hakuna mjadala pamoja na kujitetea kote lakini ukweli uko wazi; Polisi ndiyo wauaji, Hatudanganyiki!
  11. M

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Nakumbuka ya Soweto SA, sasa Arusha FREEDOM IS COMING TOMOROW! 2002 Pemba - Nahodha - waziri Kiongozi Zenji, Sasa Arusha - Nahodha Waziri Mabo ya ndani TZ!!!????????? Haya nahodha
  12. M

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Thanks Gurudumu, endelea kulizungusha
  13. M

    Chadema wakwepa mtego mwingine pwani

    Nadhani hujui usemayo, usidhani kila mtu anataka kuingia ikulu tu! kama alivyo fanya kikwete, na ndiyo maana hataki kuona anaachia ngazi hata nchi ikimshinda! kwani lengo lake ni kukaa ikulu na si kuwatumikia wanachi. Halafu wewe Tanzania ilipata uhuru wake lini na kutoka kwa nani? au...
  14. M

    Maaskofu wasiingilie mambo ya siasa

    Dini na serikali ni mikono ya MUNGU kuhudumia watu wake
Back
Top Bottom