Recent content by Kingdom Finder

  1. K

    Ni zaidi ya mwaka hatujui mdogo wangu yupo wapi. Nifanye nini ili niwe sawa kisaikolojia?

    Aisee huku kuna watu wa ajabu sana. mtafanya watu waichukie JF.
  2. K

    Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

    Wakristo kufa ni jambo la kawaida sana na hayo Yesu mwenyewe alisema kwamba kuna wakati wataua wakristo na kufikiri wanamtolea Mungu sadaka.
  3. K

    Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

    Pamoja na hayo yote uliyosema bado ni mama yako na ataendelea kuwa mama yako na mama watoto wake. Pia kuna wanaume ambao ni makatili sana.
  4. K

    Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Umejibu vema. Haya yote uliyoaandika mwasisi wake ni shetani si Mungu. Nikuambie tu ndugu yangu mwenye huu ulimwengu ni shetani. jiulize tu kwamba mbona mambo ya gay yankuwa na nguvu sana. Kwa sababu mwanzilishi ni shetani ili kuharibu kizazi hiki. Ndugu yangu tuko hatarini sana huko mbele ni...
  5. K

    Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

    You may be right but witchcraft is there anyway.
  6. K

    Wakazi zaidi ya 200 wamekosa makazi kwenye eneo la Olacity jijini Arusha baada ya nyumba zao 100 kuvunjwa

    Dunia ni ngumu na tu wapitaji lakini challenges watu wanazokutana nazo ni nyingi. Mungu awasaidie tu. Imagine hiyo nyumba umejenga kwa mkopo si ndiyo kisa cha kufa kwa pressure.
  7. K

    Be a gentleman, vingine viache vipite

    Well said. Inaongena wewe ni mtu mwenye maadili mema. Tungekuwa na watu kamaa wewe dunia ingekuwa mahali pa salama.
  8. K

    Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Mwneye hii dunia ni shetani kwa wale wanaojua mambo ya rohoni. Hapa hakuna wa kujisifia awe mkiristo, muislamau, mwabudu sanamu au asiye na dini. Ukiingia kiroho zaidi utakuta wote tuko chini ya kongwa la huyu mwovu ibilisi ambaye ndiye mtawala wa huu ulimwengu. System za dunia zikiwepo...
  9. K

    Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

    Sawa mkuu kwa kunisahihisha. nilikuwa na maana isije ikasambaa ulimwenguni na kuwa vita vya tatu vya dunia.
  10. K

    Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

    Tuombe Mungu hii vita imalizike salama maana imeleta madhara makubwa sana kwa binadamu. Shida ni kwamba Mrusi siku zote hawezi kukubali kushindwa. Kumbuka kuwa anatawala ki dictator na watu wake kufa kwake siyo shida,
  11. K

    Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

    Wewe Bwana Kiranga acha ubishi wako huo. Hayo mambo ni kweli hata tusipodhibitisha kwa sasa.
  12. K

    Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

    Ahsante ndugu yangu na wewe Mungu akubariki na kukutunza na familia yako.
Back
Top Bottom