Recent content by menyidyo

  1. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa Nobel Soyinka aamua kurudi kwao..

    Amezeeka huyo, he is simply retiring.
  2. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Serikali Isikurupuke, Rais Kikwete Alisafiri

    Nafikiri hii warning ya serikali ingekuwa kweli hakuna tatizo, Gazeti la Mtanzania angechukuliwa hatua. Ila kwa sababu msemaji katoa viticho bila adhabu yoyote, inaonesha kuwa inajaribu tu kuficha jambo flani.
  3. menyidyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Boss ananitaka kingono, nipo njia panda, naomba ushauri

    Kwani boss mbaya?
  4. menyidyo

    JamiiForums Tanzania ITV bana, Gavana anaeleza hali ya Uchumi wa nchi anapewa dak. 1, Mbowe anaeleza UKUTA, dakika 4

    Angalia TBC ww, acha kupoteza Muda wako na ITV. .
  5. menyidyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Camera inayotoa picha na kuzuia vitu vya nyuma na pembeni

    It's simply a shooting techniques, kuna kitu kinaitwa focus. Na imegawanyika aina mbalimbali, ambapo impact yake ndio hiyo. Ila camera yoyote yenye micro na macro rings ndio inakuwa rahisi.
  6. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Tukisema Clouds Fm wapigaji wanabisha, ona Fiesta vs tetemeko Bukoba

    TBC taifa ina fanya kazi gani? Fungua radio yako
  7. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Mnaomkosoa Rais Magufuli, hii inawahusu wote CHADEMA

    Sijailewa au sipati msingi wa hoja yako. Ni kama vile moja jumlisha moja unalazimisha iwe Tatu. Garbage in Garbage out
  8. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    Link ya live streaming ni ipi??
  9. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Abraham Linkolin

    Huyo aliyeuliwa kwenye gari ni John F Kennedy
  10. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr nina tatizo la kuwashwa baada kutoka kuoga hasa nyakati za mchana au jioni. Nikioga asubuhi sana kuwashwa kunakuwa hakupo. Je tatizo ni nini hasa? Dawa ni nini? Kuwashwa huku hutokea sehemu mbali mbali mwilini kama miguuni, kwenye mapaja, mikono, mgongoni na tumboni. Na hudumu kwa dakika...
  11. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Malisa juu ya hali ya kiuchumi nchini wajibiwa kwa umahiri mkubwa

    Yaani kama haya ndio majibu ya umahili, you will be tabled kukuonyesha kodi ilipoongezeka, kusitisha kwa ajira mpya, tamisemi kupunguza wafanyakazi na kadhalika. Am waiting for Malisa akujibu. It's good shindanisheni hoja, sisi tutajua ipi sawa ipi si sawa....
  12. menyidyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sumaye asishitakiwe kwa mauaji ya Mwembe Chai na Pemba?

    Sawa ashtakiwe tu, ila na mkuu wa majeshi kipindicho atakuwa hausiki?
Back
Top Bottom