Recent content by MeMZALENDO

  1. M

    Pongezi kwa Wabunge wote..LAKIN?

    Kikao cha bunge kilichoisikilza taarifa ya kamati ya Lembeli juu ya opereshen Tokomeza kwa kwel kilikua kizur sana kwan wananchi walifurahi sana pale walipoona wabunge wote wamekua kitu kimoja na kutetea wananchi.Ilkua ni furaha kuona mbunge wa Ccm,Chadema,Cuf na vyama vingine vyote wanasimama...
  2. M

    Tusitumie vibaya uamuzi wa chadema kuleta hoja zisizo na msingi

    Hivi karibun baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwachukulia hatua viongoz wake waliokosea ndan ya chama watu wenye kuweza kuandika hoja pasipokua na uelewa na uzalendo wa nchi yao wameanza kuendeleza hoja zisizokuwa na mashiko wala msingi wowote za mara Chadema ni chama chenye...
  3. M

    TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

    Jaman Watanzania lazima tuwe tunafikiria maisha ya kila Mtanzania.Tunapoongeza asilimia za garama za umeme Je tumeangalia kipato cha watu wa chini? Mbona hatujawai kusikia wawekezaje wa nje wanaongezea kodi? Mfano wachimbaj wa madini? Embu serikali ifike mahali muwe na huruma kwa Wananchi wenu...
  4. M

    Maandamano yanayoendelea Kigoma ni salam tosha kwa madikteta CHADEMA

    Jaman kama mpenzi wa nchi yako na wa chama chako CDM ambacho ndio chama makin Tanzania hupaswi kuwa wa kwanza kusapoti vitu ambavyo havina faida yeyote kwa chama na nchi kwa ujumla.Baada ya hatua ya chama kumchukulia hatua Mh Zitto na wenzake zimezuka hoja nyingi zisizo na msingi ikiwemk hii ya...
  5. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Jamam Watanzania wenzangu tukumbuke kuwa ukiachana na swala la kuwa madawa ya kulevya yanapoteza sana nguvu kazi wa Taifa ila pia nchi yetu inachafuka sana katika Mataifa makubwa ambapo Rais wetu anakesha kila siku akiomba misaada.Kinachonisikitisha zaid ni pale wahusika wanamatwa lakin hamna...
Back
Top Bottom