Recent content by Mee wa Mavituuzi

  1. M

    ATCL: Another Richmond!

    Si Mpaka Uwaone Nasikia Jamaa Wamekuwa Kama Jk Wanapangua Anga Tu ,,inasemekana Management Yote Iko Nje,,,haya Hii Ndio Hali Halisi
  2. M

    ATCL: Another Richmond!

    Tutafika Kweli Na Uchumi Wetu Huu Kila Mtu Akileta Gari Kupitia Kampuni
  3. M

    ATCL: Another Richmond!

    wana forum hii nimeikuta jana madada wanaiongelea imeniumiza sana kama mpenda nchi,,habari zilikuwepo ni kwamba kama mtanznia yoyote anaipenda nchi lazima alie kutokana na habari hii ATCL imeagiza magari 25 toka dubai yakiwemo magari ya wakubwa katika kufwatilia inasemekana magari hayo yapo...
  4. M

    ATCL: Another Richmond!

    hii ni habari njema lakini hizi story zimeanza siku nyingi zinakuja zinakuja,,ndugu yangu kwa sisi ma x-eng hiyo dash q 4oo bomu,,watazirudisha,,tuwe makini jamani
  5. M

    Je Hii Ni Haki ?

    mdebwedo mtupu huu...sara kula maisha mama walikuwa hawajui wasichana wakichaga ka am si watanzania tumeumbwa tuwasaidie ,,na hizo hela tunamhakikishia atakufa kizisikia bado ziko mikononi mwako,,aliingiza kwenye a/c yako akitarajia nini;;;;au ndio kuhongwa wajameni kazi ipo wana forums...
  6. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Jamani Haya Mambo Yanapendeza Kuona Watu Wameamka Kiasi Hicho Tukatae Tukubali Haya Mambo Lazima Yawekwe Wazi,,,,,,,,,,,,,,
  7. M

    madaktari wetu wanatupeleka wapi?

    ""KIHOJA KINGINE CHA MOI"""" Ndugu wa wagonjwa wote mliopata haya madhara kwanza napenda kuwapa pole kwa yale yaliotokea,,kwanza nasikitika kusoma kuna baadhi ya watu wanawa support hawa watu,,(dk),,kisa kingine cha kusikitisha ni kama ifuatavyo nahisi bwana maseru ana kazi kubwa ya kufanya...
  8. M

    Inawezekana matatizo ya nchi ni makubwa kuliko tunavyodhani: Immanuel Didas, apasuliwa kichwa badala ya mguu MOI

    Swala lingine ni rushwa jamani,,hospital imejaa rushwa na nahisi hata bwana maseru analijua hili,,nahisi hata huyu bwana waliojichanganya inawezekana waliona kabisa,,jamaa wa mguu anazo wakaamua kumbadilishia kibao c mnajua kichwa kinalipa kuliko miguu,,ni hayo tu ila naomba tujitahidi...
  9. M

    Inawezekana matatizo ya nchi ni makubwa kuliko tunavyodhani: Immanuel Didas, apasuliwa kichwa badala ya mguu MOI

    ""KIHOJA KINGINE CHA MOI"""" Ndugu wa wagonjwa wote mliopata haya madhara kwanza napenda kuwapa pole kwa yale yaliotokea,,kwanza nasikitika kusoma kuna baadhi ya watu wanawa support hawa watu,,(dk),,kisa kingine cha kusikitisha ni kama ifuatavyo nahisi bwana maseru ana kazi kubwa ya kufanya...
  10. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Naomba Tuifunge Mada Hii Leo Hii Jumapili Saa Moja Usiku,,imeashaandikwa Natumaini Wahusika Wamesoma Na Habari Nyepesinyepesi Waungwana Wengine Wameamua Kuanza Pale Open Wasijeaibika Kwaherini
  11. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    jamani hawa tuwaweke kwenye maombi tu na vizazivyetu vije kuungana uko bila maoombi ya mwenyezi mungu mtaishia vumbi la chaki mbarikiwe watoa mada
  12. M

    Mkutano Mkuu Wa CCM - Matarajio Ya Kujiokoa?

    Afadhali Wamekubali Ukweli Kuliko Kuwadanganya Watumishi Wa Bwana ,,niliwambia Hawa Wanaitaji Maombi Mungu Atawabalidisha Hii Ndio Ccm Bwana ''iliokuwa Aiongeleki Hivi Sasa Butiku Anawachungulia ,,tupige Goti Jamani Mambo Mengi Yanakuja,,baada Ya Uchaguzi Wa Leo Kuna Waungwana Watakuwa...
  13. M

    What's happening to SOPHIA SIMBA?

    "kitime" Huyu Mama Emlazwa Kabla Hata Mzazi Ajapata Ajali,,tusimsemee Moyo Jamani,,lingine Tumpe Nfasi Apumzike,,alianza Kuumwa Alivyotoka South,labda Twaweza Sema Izi Ni Bakora Tu Za Mwneyezi Mungu Kuonyesha Jamii, Namtakia Salamu Njema Uko Alipo Mama
  14. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    yeeaaahh:::::vijana nimefurahi kusoma mada zenu kweli zinaonyesha halihalisi kwanini watanzania wanaoenda nje hawarudi naomba mungu mwenye enzi yote amfunulie jk blog hii kumfumbua macho,,mwisho na wapa changamoto vijana wetu uko nje uku hali ni ngumu bado BOT,PPF,TIC vibopa ni walewale "FISADI...
  15. M

    Si Vipapai, bali ni barabara

    wanaforums hapa si barabara wala madereva,,swala hawa waheshimiwa inabidi wamrudie mungu huu ndio wakati wenyewe hata kama wakiweka 6lanes,,nani asiejua ajali ngapi zinapatikan kwenye mororgoro road kutoka ubungo mpaka mbezi,,na hivi sasa wanataka kuongeza barabara kupunguza ajali,,swala wamjue...
Back
Top Bottom