Recent content by Meale

  1. Meale

    Mibaba ya jf ina tabia mbaya

    Bila shaka atawasemelea kwa mama.
  2. Meale

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    jamani mi nina shaka na hili tamko. Je ni kweli linatoka kwa wasomi wa Dodoma? Kuna yeyote amesikia kutoka kwenye chombo kingine chochote cha uhakika? Isije ikawa tunajadili 'tamko la mtoa mada' kwa kivuli cha wasomi wa Dom.
  3. Meale

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    hahahaaa, hata sauti yake naona imepoteza kujiamini.
  4. Meale

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Mh. Rais naona amepoteza kujiamini, ni kama anatetemeka afu anakunywa maji mara mara.
  5. Meale

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    kweli kabisa wameondoka sasa hivi.
  6. Meale

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    Wabunge wa CHADEMA kwa pamoja wametoka nje kususia hotuba ya Rais sasa hivi.
  7. Meale

    The Best Bongo Flava Tunes (yenye maudhui ya siasa)

    hahahaaa mi nimeenda mbali zaidi, nawachukia hadi wasanii wenyewe waliokuwa wanampa tafu. Kwa hiyo wahesabu wamepoteza shabiki mmoja.
  8. Meale

    The Best Bongo Flava Tunes (yenye maudhui ya siasa)

    Roma - Tanzania. Halafu kuna wasanii kama wanaume TMK, Diamond, Tip top na wale wa THT wamegeuza nyimbo zao zilizofanya vizuri na kuwa za siasa. Album yao imeandikwa 'Kikwete 2010, bongo fleva zaidi' nadhani pale Lumumba bado watakuwa nazo, free of charge.
  9. Meale

    HAPPY -Eid al-Adha JF members

    nawewe pia.
  10. Meale

    Elections 2010 mpanda, nkenge vipi

    Mpanda Chadema wametangazwa washindi, na Nkenge CCM wameshinda.
  11. Meale

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Asante sana Mwera kwa uthibitisho. Kwa wale wanaojua hesabu za viti maalum msaada plz, je viti maalum vitaongezeka? Kama jibu ' 'yes' tupe hesabu zinavyofanyika.
  12. Meale

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    habari njema sana. Hata mimi nilishasahau habari za uchaguzi tena.
  13. Meale

    Elections 2010 Roma kawafanyia nini wakazi wa Iringa?

    hahahaaa! Hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo, jamaa anajiamini nini huyu?
  14. Meale

    Elections 2010 Roma kawafanyia nini wakazi wa Iringa?

    Ni kweli kabisa, yaani huyu bwana ingependeza kama angekuwa kwenye kampeni za Dr. slaa ili kusaidia kufikisha ujumbe.
Back
Top Bottom