Recent content by Mchelea Mwana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tycoons List...

    Sijuai unazungumzia kiwango gani cha mafanikio lakini kwa msaada mfupi kama shida ni kujifunza jinsi gani wemefanikwa na "ups an down" zao itisheni kikao cha pamoja nao au fanyanao mahojiano ya one on one then ilete hapa tutapata picha ni jinsi gani wamefanikiwa. Ahsante mzee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

    Titizo sio nani mlengwa wa hayo matusi tatizo ni matumizi yake hapa JF
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tycoons List...

    Kuna njia nyingene nzuri tu za kujifunza kwa watu walifanikiwa lakini sio hii unyofanya wewe hapa, kwanza hatutasikia chochote kutoka kwao ....please tafuta njia nyingine
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

    [/SIZE][/COLOR][/B] Naomba ma Mods muiangalie hii lugha
  5. M

    JamiiForums Tanzania JF Karibuni Tanzania Professionals Network

    .............Be aware of a naked man who offers his shirt....just curious
  6. M

    JamiiForums Tanzania It is my Birthday

    Happy birthday Bubu , and wish you more to come
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema haiwalipi hawa?

    unachoshindwa kujua ni kwamba JF sio chama cha siasa chenye malengo ya kuongoza nchi siku moja kama chadema, Hii ni forums ambayo watu wachache wamejitolea kwa moyo mmoja na hata wewe hujakatazwa kufanya hivyo, lakini Chadema ni chama cha siasa na kina katiba na dhumini la kuongoza nchi yetu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Maskini Chadema
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mugabe ana kichaa!!

    jamani mbona hii logo ya Nyani Ngabu imewagusa sana kulikoni?
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Nilikuwa najua Chedama itakufa lakini sikutegemea this soon!.....aibu
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Chinga hatuhitaji tena usibitisho....mwenye masikio na asikie
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Ni heri tumeweza kuwajua Chadema kabla ya 2010
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Mkuu kitila, sizani kama unajaua vizuri historia ya siasa ,cheo cha M/mwenyekiti wa chama ni kikubwa mno,na kitendo walichofanya CHADEMA kitawasumbua mno belive me or not kwa cheo alichokua nacho Wangwe siamini kama alikataa options nyingene kama za kujiuzuru na kama ni kweli alikataa basi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wamtaka Mbunge Wao Akae Kimya!!!

    Hiki kichwa cha habari vipi?
Back
Top Bottom