Recent content by mboboyu

  1. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwa huduma za afya

    Tunapatikana vikindu barabara ya lindi Ukitokea mjini Dsm Gerezani kisemvule Kigamboni mkuranga Temeke kisemvule Muhimbili mwandege Shuka kituo kinaitwa magogo matatu Watakuleta mtaa wa DR HAULE
  2. mboboyu

    JamiiForums Tanzania wizara ya afya okoeni afya ya meno kwa watoto

    Hakika kabisaa
  3. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kunuka mdomo(kinywa) husababishwa na nini?

    Kutoa harufu mdomoni inasababishwa Na mambo mengi Moja wapo ugonjwa wa fizi uitwao periodontists Vema ukafika hospital Kwa uchunguzi 0762291006
  4. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Karibu tukuhudumie 0774891006 Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  5. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Hilo tobo ndo shida Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  6. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Mapengo ni ulemavu Uta shindwa kula Haushauriwi kung'oa meno ovyo Fuata ushauri wa wataalamu Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  7. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Maumivu yataisha Mkuu Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  8. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Atumie flammer Mx 1x3x3/7 Aje tucheki 0774891006 Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  9. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Ana mimba? Lakini pia jino linaweza toboka moja likaleta short mdomo mzima Hivyo yafaa yafanyiwe uchunguzi 0774891006 Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  10. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Pole Sana Hilo walifanya RCT MATIBABU YA mzizi wa jino Na Hali kuwa obturated Imepelekea kupata infections kupitia canal wazi Tiba dawa waliyoziba itolewwe Na ufanye RCT UPYA ###0774891006 Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  11. mboboyu

    JamiiForums Tanzania Kilimi kuwa kirefu na tiba yake

    Pole njoo hospital Usiende kukataa mtaani Mtoto atakuja pata madhara makubwa
  12. mboboyu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

    Nadhan hata presdaaa kawaambia waache Habari ya maselfie Na mitandaoo Wafuate utaratibu ###ila yasemwayo Na mtoa post wengi tuwahanga Wa hapo
Back
Top Bottom