Recent content by mbisom ramos

  1. mbisom ramos

    DOKEZO BoT, TCRA na TRA hivi hizi Taasisi za Mikopo ya Online zipo Kisheria na zinalipa kodi?

    hawa jamaa ni changamoto kwakweli nilikopa pesa juzi marejesho ilikuw leo asubuh lakin kutokana na hali ya hewa na nilipokuw ni changamoto kidogo!!! lakini wakawapigia ndugu zangu wote simu kuwa wananidai na ikiwa hata siku haijapita na msg zao juu!!! hawa jamaa hawana customer care nzur
  2. mbisom ramos

    Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Huyu mama sina hata hamu nae!!! Amezoea kutudanganya kila mara!![emoji50]‍[emoji100][emoji50]‍[emoji100][emoji50]‍[emoji100]
  3. mbisom ramos

    Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Nilishagahama hichi chama wachumia tumbo kitambo mimi[emoji50]‍[emoji100][emoji50]‍[emoji100]
  4. mbisom ramos

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba namba ya Mhode
  5. mbisom ramos

    Kama ID yako sio ya biashara usitoe namba! Utaisha

    Kunaonekana kama kumeingizwa kitu kigumu[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. mbisom ramos

    Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Nasema kabisa sipo tyari kuhesabiwa!!! Nitahesabiwa nikiwa burundi!!! Heshimu maamuzi tafadhali[emoji29][emoji29][emoji29]
  7. mbisom ramos

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tulipotea game ya kwanza tuu
  8. mbisom ramos

    Hii ndio silaha hatari inayo wanyima usingizi Jeshi la Urusi

    Bhoti bhoti[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. mbisom ramos

    Binadamu atakufa safari tisa ndo amuone Mungu

    Daaah!!! Huyu jamaa bhna
Back
Top Bottom