Recent content by mbasa

  1. M

    Wanaume inakuwaje hamridhiki na wake zenu?

    Kwa uzoefu wangu naona kwamba hali hii inachangiwa hasa na wanawake wenyewe kwa njia ya kujijengea ukuta dhidi ya mume. wanafanya hivyo kwa kutokuwa na ushirikiano mzuri katika tendo la ndoa; mara atakwambia amechoka au hata kusema hasemi anakuangalia tu unavyohangaika kupata unyumba. mwishowe...
Back
Top Bottom