Recent content by Mayu

  1. Mayu

    Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Mifumo yetu ya maisha bado ni mifumo ya Ujamaa na kujitegemea Huo mfano wako ni mfumo wa kibepari
  2. Mayu

    Never date a girl who can't respect your wife

    Mahaba hayana KANUNI Wanaume tukikolezwa tunakuaga wajinga sana Heshima kitu gani bani watu wanamteka mazima anatelekeza na familia kabisa 😂😂😂
  3. Mayu

    Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Sheria za nchi hii zina ukakasi sana maana wahuni wanapita nazo humo humo Huwezi kununua wala kuuza aridhi bila kupitia kwa watendaji wa mitaa na vijiji, na ndio wanaoshiriki kucheza michezo yote michafu ya utapeli wa kuuziana aridhi lakini hakuna hata mmoja aliyeshitakiwa achilia mbali...
  4. Mayu

    Je, kissing (denda) ni jambo la asili au ni ubunifu wa kibinadamu?

    Mababu wanatupa experience mambo yalivyokuwa nyuma kabla yetu mkuu
  5. Mayu

    Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Hapo kisheria kabisa mchakato mzima wa kuuza nyumba ulikua sio HALALI kwasababu makaka walifanya udanganyifu Hapa ilitakiwa hao makaka wapambane na kosa la forgery na warudishe gharama zote kwa Mkinga Mkinga akaona sana sana ataishia kuwafunga tu maana hiyo hela wlikwisha itumia na uwezo wa...
  6. Mayu

    Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Haswa aridhi ya URITHI ndio inaongoza kwa migogoro Demu wangu ana kaka zake wawili wajanja wa janja wa mjini pale magomeni, mama yake alikua mke wa kwanza akazaliwa yeye na alipo fariki akaolewa mwingine aliyezaa hao kaka zake. Walimzunguka Wakafoji kikao cha ukoo wakateua msimamizi kisha...
  7. Mayu

    Never date a girl who can't respect your wife

    Ukisoma comments za wananzengo unaweza kudhani wewe ni mtu mchafu sana kwa ku date nje ya ndoa kwa jinsi wananzengo walivyo waaminifu kweli kwenye ndoa zao 😂😂😂
  8. Mayu

    Usimamizi wa mirathi

    Taratibu za Mirathi kwa ujumla zina anza na KIKAO CHA UKOO Kikao cha ukoo kinahusisha mke/mume wa marehemu, watoto, wazazi wa marehemu na ndugu wa karibu wa marehemu na watu wengine muhimu wanye kujua kuhusu maremu nk Ili kikao kiwe rasmi kitakua na mwenyekiti na katibu ambaye atahakikisha...
  9. Mayu

    Nahitaji Msaada wa kisheria

    Mkuu wewe huwezi kufanya hivyo kisheria Msaidie baba yako afungue malalamiko dhidi ya msimamizi wa mirathi Na kama waligawana kienyeji basi likafunguliwe shauri rasmi la mirathi ili ateuliwe msimamizi atakaye simamia kugawa mali Kisheria Mjukuu harithi mali iwapo watoto wa marehemu yupo
  10. Mayu

    Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Mkuu hapo kwanza inabidi ujue kwa HAKIKA asili ya maeneo hayo Inawezekana yalikua ni hifadhi ya serikali halafu watu wakavamia na kuanza kuuziana Katika hali ya kawaida serikali haiwezi kupora eneo miliki ya watu wengine bila fidia
  11. Mayu

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    11 SUURAT HUD 37. Na unda jahazi mbele ya macho yetu na kwa mujibu wa ufunuo wetu. Wala usinisemeze kuwatetea walio dhulumu. Kwani hao bila ya shaka watazamishwa. 38. Na akawa anaunda jahazi, na kila wakipita wakuu wa kaumu yake wakimkejeli. Yeye akasema: Ikiwa nyinyi mnatukejeli na sisi...
  12. Mayu

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Madame hebu nifafanulie hizi aya kuhusiana na Noah(Nuh) Quran 11:36-37 Quran 11:40 Tofauti kubwa ninayo iona ni kwamba Quran haijataja mafuriko kama ni ya dunia nzima Ila imetaja mafuriko kutokea, imeeleza kuhusu safina(Ark) na imefafanua kuhusu wanyama kuingia
  13. Mayu

    Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

    😂😂😂
  14. Mayu

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    🙏🙏🙏
  15. Mayu

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Kama bado unaamini Mungu yupo basi hutumii logic kukubali uwepo wake.... unatumia IMANI Kama una amini BIBILIA ni maneno MATAKATIFU ya Mungu utakua hutumii Logic utakua unatumia imani Na ndio maana kujua Noah aliwaswagaje wanyama wale kuingia ndani ya safina hukutumia logic bali umetumia...
Back
Top Bottom