Recent content by Matango

  1. Matango

    Nehemiah Mchechu, Albert Chalamila, DC Joketi na Gerson Msingwa wanastahili kuingia Bungeni 2025

    Hongera kwa uchambuzi wa utendaji kazi wa hao uliowataja. Nasubiria uchambuzi zaidi wa wengine pamoja na sera. Ushauri wangu ukimaliza kuwachambua hao unaofikiri wanafaa kwa nafasi hizo unazofikiria, anza kutuletea upande wa pili. Upande wa pili ni Bungeni, kwa sasa Bunge halina hata nafasi...
  2. Matango

    Huu siyo uchafuzi wa mazingira Dar?

    Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine? Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.
  3. Matango

    Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    USIPOTEZE MUDA WAKO !! LEO HISTORIA INAANDIKWA !! USIWE KAMA KUKU MGENI ALIYEFUNGWA KAMBA, HATA SIKU AKIACHILIWA HAELEWI KAMA YUPO HURU !
  4. Matango

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Na mitaani umeme wetu ndiyo umepelekwa Uwanjani kuongeza nguvu? Maana tupo gizani.
  5. Matango

    Ajira Portal: Verification Certificate Shidaa

    Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
  6. Matango

    Umeme ni maafa ya taifa- Afrika kusini

    Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme. Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
  7. Matango

    Baada ya hii mikutano ya siasa tutapiga kura wapi?

    Wakuu habari za leo, Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika nyingi za biashara kwenye jiji la kiuchumi la DSM. Nilifika kwenye meza yake ya biashara ya matunda...
  8. Matango

    Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

    Ninakutakia Heri Nyingi, Afya Njema na Umri Mrefu Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa uliyeweka rekodi barani Afrika. Bado tunakuhitaji utuvushe na tuvuke wote katika kipindi hiki cha misukosuko ya kiuchumi duniani. Mungu aendelee kukulinda.
  9. Matango

    Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

    Hii nayo umeona ni hoja. Omba nawe Mungu akujaalie umri mrefu upate muda mrefu wa kumtumikia. Uzee dawa.
  10. Matango

    Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Asante kwa elimu na taarifa muhimu. Wenye magari hayo watakuja kutoa ushuhuda.
  11. Matango

    Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar

    Kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !!! Kazi INAENDELEAAAA !!!!
  12. Matango

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhutubia Taifa tarehe 13/01/2023

    Haaaaaa mambo haya ya siasa haya. Ndiyo maana sisi wengine ni Watazamaji !!! Mleta Uzi unajua kucheza na akili za wana wa nchi. Makamu wa "Tanganyika", Atalihutubia "TAIFA". Mbona mnakuza mambo bila ya sababu za msingi?. Kama Taifa ndiyo linahutubiwa hivyo basi hizi siasa za kujifunza au za...
  13. Matango

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Mawazo, Msimamo, Mikakati yako yote ni mipango mizuri. Nenda kwenye utekelezaji na kwa nia njema uliyokuwa nayo urudi hapa utupe matokeo baada ya msimu wa kwanza kumalizika.
  14. Matango

    Nimewafukuza watu kwenye sherehe baada ya kugundua wanatumia Tecno na infinix

    Miezi miwili ya kujiunga humu ndiyo unaleta mawazo hayo yalikomaa ya Great Thinkers.. Unawajua wanaopelekwa Milembe? Ukiendelea hivi kuna siku nawe utajikuta huko huko.
  15. Matango

    Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

    Inna lillahi. Poleni sana
Back
Top Bottom