Recent content by Baba Kenzo

  1. B

    Kaa na ujenge nami

    Mie nilitumia mawe kujenga shimo , fundi alitumia fumo wa kupanga mawe bila cement kisha anafunga mkanda baada ya kozi . aliweka kozi 5 na mawe trip 9 zilitumika . kufunika alitumia ndondo 18 , 12mm. Ni very strong sana.
  2. B

    Naomba msaada wa mawazo wajenzi nataka kuhamia kwenye nyumba yangu

    Mwambie tu hapa hapa kwa faida ya jukwaa,, kama ni fundi utakuwa umejitangaza pia...
  3. B

    Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

    Mkuu kwa mtazamo wangu hiyo nyumba inatosha kabisaaa, Dunia imebadilika sana yale mambo ya vijana kukaa nyumba hadi miaka 25 au 30 yalishapitwa na muda sana , hivyo mie sioni sababu ya kujenga nyumba kubwa kwa sababu watoto wenyewe wanaanza mambo ya kujitegemea mapema ......unakutaka kijana yuko...
  4. B

    Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

    Barua ya Yanga imeeleza kuhusu sheria ya kuhairisha mchezo kuwa angalau 24hrs before. TFF & BODI YA LIGI wanamakosa katika hili.
  5. B

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Kuna nyumba zinanyimwa mbao katika kupaua, mbao zinazobeba bati zimeachana distance kubwa sana... Japo mie siyo fundi ila ukisoma comment za mafundi wengi unaona ukubwa wa nyumba na idadi ya mbao hususani zinazobeba paa haviendani kabisaaa
  6. B

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Mkoani, kiwandani
  7. B

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Mambo vip, nyumba yako ina sq meter ngapi?? Hesabu yako haiko mabli na hesabu yangu japo ndo nimenunua bati 128 kwa 31,000/= Alaf na sasa nasaka mbao na nimekadria kuwa 2.4m na mengineyo nimeweka 600,000 labour charge ni 700,000/= location mwanza.. 12*12 area.
  8. B

    Mafundi wa kujenga nyumba nipeni ushauri hapa

    Kwani wewe unataka msingi wa tofali au msingi wa mawe?
  9. B

    Kenchi ikikaa muda gani bila bati inaharibika

    Pole sana ila umefanya makosa kiasi chake, ingependeza kama ungenunua bati kwanza kisha ndo mbao. mawazo tu lakini
  10. B

    Naomba ushauri kuhusu bati bora na ambayo haipauki

    Tayari ushasema kampuni mpya halafu umeshaipa warrant kuwa wako vizuri zaidi ya ALAF... Umeezekea bati zao lini na zina muda gan?
  11. B

    I need english speaking friend(s) as part of my preparation for IELTS

    What is feedback on this issue??
  12. B

    Msaada juu ya chafya

    HII KITU INANISUMBUA SANA..
  13. B

    Wanawake wazuri wengi wamezalishwa na wako nyumbani kwao, au kuna kampeni maalum ya kuwapachika mimba na kuwatema?

    Kinachowagharimu ni uzuri wao kwenye selection zao za wanaume wa kuwa nao. Wanaamini kuwa uzuri wao wa sura na shepu pia ndo determinant factor ya mwanaume yupi awe nae na siyo BRAIN. Unakuta wanaangukia kwa mabrother men wenye maisha ya kuigiza kama vile kuazima gari, sasa demu akiona ST tu...
Back
Top Bottom